Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kujiaibishaaaSasa nikikup Arusha unakataa nini hawa ni watot wa baba moja wanaelewan tu vyemaaView attachment 2131346View attachment 2131350View attachment 2131364
Huu ni utoto sasa,weka Dar inayofanana hivi 👇

cote-d-1.jpg


cote-divoire-ivory-coast-abidjan-aerial-view-of-the-business-district-of-le-plateau-office-bui...jpg


aerial-view-of-abidjan-cote-divoire-F029NE.jpg
 
dar is the only major city in africa that lack, interchanges, bypasses, underpasses, superhighways, expressways and so on...

ubungo ina kaa ka mamba View attachment 2131284View attachment 2131292
Tatizo huwa hawataki kuambiwa ukweli.Dar miundombinu na planning ni zero.

Dom ndio itatuokoa when it comes to miundombinu na proper arrangement.
 
Hiyo uliyoweka ni Ghana? Mbona huwa mnakuwa wapumbavu, weka Ghana kwanza tumalizane nayo chuki yako kwa Dar haibadilishi kitu, umeweka picha ya kwanza hii hapa View attachment 2131484
Rudi kuandika upya,una hemka Sana hadi hueleweki. 😄😄😄.

Chuki ya nini sasa,huo ndio ukweli.Dar kwa miundombinu na planning ni hovyo
 
dar is the only major city in africa that lack, interchanges, bypasses, underpasses, superhighways, expressways and so on...

ubungo ina kaa ka mamba View attachment 2131284View attachment 2131292
Ubungo interchange is extremely unplanned. Magufuli wanted to compete with Kenya akajenga 'beachi kidimbwi' akaiita interchange. Now the place looks unplanned and shitty.
 
Wenzenu huwa hawapendi kuambiwa ukweli, especially kama ni mtanzania mwenzao anawaambia huo ukweli
So comment hii ndiyo inaondoa ukweli kwamba Dar ni mji pekee EA kuwa na electric SGR? 3level interchange? BRT? Modern bus terminals? Modern Airport?

Je unataka Nairobi iizidi Dar kinguvu au? Narudia kukukumbusha mana mwenzio NairobiWalker jana alikasirika alipoambiwa hakuna infrastructure ipo Nairobi ikakosa Dar ila kuna infrastructures zipo Dar huwezi kuziona East and Central Africa
 
kua rich haina maana kua ndio maendeleo inaeza ikawa rich ya kwenye kalamu na karatasi lakini kiuhalisia sifuri bin ziro
Rich ya kwenye kalamu au karatasi kazi kweli kweli sijui izo definition unazitoaga wap
 
Back
Top Bottom