Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani mji una ma slums everywhere na vimaendeleo katikati ya mji zen the most beautiful city in EA, ukimwambia huo uzuri uko wapi wanakuonesha apartments za upande upande [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwengine anakuambia huu mji unazidi Dar, ukimuambia unazidi vipi anakuletea vumbi, wallahi watz wengi tulikuwa na mawazo ya kimbwa sn mpk pale tulipokuja kuamshwa usingizini, ona vumbi hili ambalo baadhi ya watz wenye mawazo ya kimbwa wanakuambia vumbi hili linazidi Dar[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-1336043391.jpg
 
Wakenya siwalaumu mana wao wapo humu kupambania ujinga wao tulioufuta, so mkunya yupo radhi kuisifia Accra mbele ya Dar japo anajua Hilo haliwezekani lkn lengo lake litimie kwamba Accra ikionekana nzr kuliko Dar basi Ka Nairobi kao kataonekana bora zaidi, yn hawajui kwamba km Accra itaizidi Dar basi Ka Nairobi mana ake ndiyo katakuwa kachoo kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani wallahi nawaambia kwa jinsi ninavyoijua Dar alafu mtu anasema eti Accra imeizidi Dar kimaendeleo basi hiyo Accra itakuwa nusu ya Ulaya walahi japo picha za Accra haziwekwi humu na wala Sina muda mchafu wa kutafuta picha cz west Africa ninachokijua mm ni vumbi tu mwanzo mwisho, yn huwezi kuilinganisha miji ya west Africa na EA, wale West Africa wakizindua infrastructure au building utacheka yn building nzr lkn environment sorrounding that building utacheka mpk ufe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani angalia kwa makini hawa kenge, eti katikati kuna interchange ya European standard alafu mbele ya hyo interchange kuna ka road kembamba 2lanes[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-1336043391.jpg
 
Wakuu huu ni ukosefu wa adabu uliopitiliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji1787]
 
ndio maana
then why is kasarani always ranked highly than mkapa stadium, by ioc and fifa.!??.. because kenya will always remain a superpower in this eastern block!
nesema Kunya ranking zinawaharibu akili.
BRO WE TIZAMA MWENYEWE MUUNDO WA MKAPA STADIUM UNAFANANISHA NA UWANJA UPI HAPA EA!?
ACHA BANGI ZINA MADHARA.
 
kwani GDP ya kenya iko wapi zaidi ya kwenye karatasi au bado hujajifunza kupitia kwa jirani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro ww tatizo unaongea kwa mhemko mkubwa sana bila kua na information za kutosha
Sasa kosa langu ni lipi hapo?na ubovu wao bado wametuzidi yani bado huna sababu ya kuchomoa.....
Trassaco valley Accra View attachment 2131582
EjzeRNxXkAECCaq.jpeg.jpg
EjzeR6bX0AEEaKz.jpeg.jpg
 
Back
Top Bottom