Daaa wazee kama hii ndo Accra ya Ghana nnayoisikiaga basi hamna kitu, sasa hii si Makumbusho tuu jamani. Nna wasiwasi na data za GDP za Tz, hawa wazee wa takwimu wanahitaji kufumuliwa.Zuzu kumbe hata Accra yenyew haijuiinterchange kwa slums...ushuziii hiii ndio izidi TzView attachment 2131537View attachment 2131538View attachment 2131539
usilete picha za kuchora leta picha real!Sasa kosa langu ni lipi hapo?na ubovu wao bado wametuzidi yani bado huna sababu ya kuchomoa.....
Trassaco valley Accra View attachment 2131582View attachment 2131583View attachment 2131584
Ilo mesema ww, mm nimewambia Hapo accra akuna hata cha kufananishia na kariakoo mind you ile ni international market, vipi CBD...ficheni izi aibu ndogo ndogokwahyoapo ndio unaona ndio kila kitu yani
Trassaco valleyusilete picha za kuchora leta picha real!
Kwann unaona kariakoo ni big deal sanaIlo mesema ww, mm nimewambia Hapo accra akuna hata cha kufananishia na kariakoo mind you ile ni international market, vipi CBD...ficheni izi aibu ndogo ndogo


CGR Tanzania
![]()
VS
SGR Kunyaland
![]()
Wakunya muachage kutuiga! Khaaa that's copy and paste! 50 years after mkalipa! gai-gai-gai...Atererere...!
I wish mngejua Tanzania inajenga nn 50 years after TAZARA!






kitu copy and pastenow see the difference...! anything special? Kigamboni AVIC is waaaay more better planned than that!Trassaco valley View attachment 2131593
Kwaiyo ndio wametuzidiTrassaco valley View attachment 2131593

kwa icho kilami au mana sioni kingine
bwana tuusanSababu najua kinacho endelea pale...mzunguko wa pale wachan nao kabisa,Kwann unaona kariakoo ni big deal sana![]()
nimependa hilo neno financed by tz gvt😂
Najua nafam ww ni mtu wakushikilia data na kuziheshim lakin mda mwingine jaribu kuwa realisticTrassaco valley View attachment 2131593
Simmetaka kuona picha walau moja? Ndio iyoKwaiyo ndio wametuzidikwa icho kilami au mana sioni kingine
bwana tuusan
Naona kama tunaenda sawa sasa.tukienda kwenye best suburbs tuweke tano za dar na tano za Accra ndio unaweza ukaelewa kwann hawa jamaa wametuzidi...kitu kingine usisahau wamarekani wengi wanamigrate to Ghana na kuinvest huko..Hata number of remittances wanazotuma diaspora ni wapili chini ya Nigeria kwa Africa...izo pesa wanainvest na nk...Najua nafam ww ni mtu wakushikilia data na kuziheshim lakin mda mwingine jaribu kuwa realistic
Good planning, shida Ni small compounds plus wapande miti... world-class estate. inafanana na lowerKabete, Nairobi.Trassaco valley
View attachment 2131593
Barabara kama za Kunyaland