Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bandari ya Mombasa kupigwa BAO na Tanga Port,Mambo mazuri yanakuja kwa Tzn 🙏🙏

Screenshot_20220223-125105.png


Screenshot_20220223-125124.png
 
Hapo kwa Ghana hata mimi huwa nashangaa wamewashinda vipi kwenye gdp. Accra imeparara sana ukiiona unaweza cheka. Anyway, kwa sasa inasemekana wamewashinda kwa gdp. Hata Ivory coast ipo karibu kuwachapa. Kazeni kamba msijikute mumetolewa nje ya top 10 Afrika.
Kwa kinacho endelea kwa sasa sahau sisi kushuka kwa top ten, mda mwingine beberu zinapenda kulambwa ndio zikupe namba watakazoo,tazama tu izo sijui misadaa wanajifanya kutupa sita shangaaa GDP yetu mwaka huu ikafika 75-80 billions...lakin kiualisia sisi tuko close na 100b, inachekesha sanaa kwa miradi tuliyonfanya ndani ya 5 yrs bado wakaiwek GDP around 65, tena kama unakumbuka kukatokea mkanganyika kati ya serikali na IMF thidi ya ukuaji wa uchumi wao wakidai tuko around 4% wakat serikal ikisem tuko 5.5% wakiw pamoja AFDB , aibu iliwashika wakabadil tena kuwa 5%
 
JKT wangepewa tenda hata za kufanya plan za nyumba zetu zilizojengwa kiholela ingekuewa poa sana. Wangefanya kwa awamu kubomoa na kujenga upya kama walivyofanya nyumba za magomeni kota ingekuwa safi sana.
Siyo jkt tu bali jeshi lote jwtz pia na magereza na wafugwa watumike hiyo ndiyo maana ya matumizi bora ya human resource
 
Back
Top Bottom