TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
2030 mbali sana.. mama mitano hii inamtosha..Baada ya mama 2030 tunaenda na Bashe au Mwigulu.
2025 kwa ccm pale bashe yupo vzur
2030 mbali sana.. mama mitano hii inamtosha..Baada ya mama 2030 tunaenda na Bashe au Mwigulu.
Same na Nigeria.ishu ya
- GDP ya Kenya hasa ukicompare ya Morocco na development zake hazina uhusiano
- Uwepo wa slums or unplanned settlement
- Uwepo wa njaa nchini Kenya (lack of foods)
- Mazingira machafu barabaran
- Ukosefu wa social services infrastructure like Stands, Markets
hiv vyote vinanipa wasiwasi kuhusu GDP ya Kenya, yan hakuna uhusiano wowote wa GDP yao na maisha yao yalivyo.. full kuungaunga
Heri kwetu Tanzania kuna maendeleo flan hiv yanaonekana
Hawa jamaa tunabattle nao humu ila sio level yetu aisee, nadhani tunawafariji tu
HAkuna kitu kama hicho2030 mbali sana.. mama mitano hii inamtosha..
2025 kwa ccm pale bashe yupo vzur
hehehe.....mnaumia sana bana.....Kenya nayo imewashindia mbali.......Mombasa yenyewe hata Dar haioni mnataka tutoshane ki GDP...mna kichaa niniishu ya
- GDP ya Kenya hasa ukicompare ya Morocco na development zake hazina uhusiano
- Uwepo wa slums or unplanned settlement
- Uwepo wa njaa nchini Kenya (lack of foods)
- Mazingira machafu barabaran
- Ukosefu wa social services infrastructure like Stands, Markets
hiv vyote vinanipa wasiwasi kuhusu GDP ya Kenya, yan hakuna uhusiano wowote wa GDP yao na maisha yao yalivyo.. full kuungaunga
Heri kwetu Tanzania kuna maendeleo flan hiv yanaonekana
Same na Nigeria.
.. sasa imagine ikipanda afu angalia mazingira yao yalivyo sasa!Hehe....haitaki hasira....hamuwezani na Kenya. Watanzania wenye akili kama Levo washatii.....what does a non starter in Jamii forum gotta say.....lolView attachment 2108850
hii slum si hata kawangware yenye inaitwa slum imeishindia kwa umbali.......refusing to accept that 90 % of dar is covered by these shitty hovels wont save you tanganyikans......CCM just like chinese communist party are well known tyrant regimes who hide the truth from the world while the citizens are languishing in poverty
No one in this world publishes everything......but from the scratch surface you cant make everything upunaijua MELT, Bakhresa Group, Caspian?
hizo ni private/family company ambazo zina hela nying sana lkn hazina hapo.. kwasababu hawapublish mapato yao yote
ni camera imechakaa ama ni sehemu yenyewe ndio imechakaaWacha kutuwekea ushuzi apa we mkunya...hii ni batter kuliko huo ujinga umeweka apo juuView attachment 2108211
Kama zitakua nne nafkiri kutakua na Mini Flyovers na Bridges nyingi bila kusahau Service Roads. Bado itapendeza na Itapunguza Foleni sana. Hii barabara ikipanuliwa Vzr itaongeza Biashara na Pesa Nyingi sana.Inafanyiwa epembuzi yakinifu....iyo barabara itajengwa mwaka ujao wa fedha 2022-23 sema wameniudhi itakua njia nne sio Nane kama tulivyotarajia
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa ni Akili kubwa, Kwa Pindi alichokaa wizara ya Kilimo na Mageuzi aliyoyafnya anapaswa kupongezwa na Kutiwa Moyo
kwa Hakika Cape Town ni jiji bora Africa baada ya Cairo na Jhb na design yake ni top class inafurahisha macho kuangalia. Imepita miji mingi Europe, Asia na USAAcheni kuwa wapumbavu 😂😂 kupata vi apartments kadhaa ndio ishakua eti mko number 3 behind JB and Cairo 😂😂😂 is NAIROBI even closer to Capetown 👇View attachment 2108339View attachment 2108340View attachment 2108341View attachment 2108342View attachment 2108343View attachment 2108344View attachment 2108345View attachment 2108346View attachment 2108349View attachment 2108350View attachment 2108351View attachment 2108352tena bila aibu unataka kuitaja NAIROBI kwa hizi world class Cities fala nini wewe.?
View attachment 2108347
View attachment 2108348