Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimepitiapitia kidogo google. hio new stadium ina seat capacity ya 50,000 na imejengwa kwa $270m [emoji44]..
senegal pia wana uwanja mwingine wa 60,000 seat capacity

na hio Dakar Arena ina seat capacity ya 15,000 na imejengwa kwa €100m

kazi kwetu Tanzania!
Kwamba uwanja umejengwa kwa bil.500? Hebu tupe uhakika.
 
huu wa 80,000 capacity tuetegemea dodoma.. 60,000 capacity mmoja tayar upo Dar..
baada ya miaka mingi tunaweza kuwa kwenye position nzuri ya kuhost WC[emoji16]

afu africa tuache kasumba ya kujenga 15,000 capacity stadiums kama wenzetu majiran .. at least tuwe tunajenga kuanzia 40,000 capacity
IMG_4740.jpg
 
Mzee tunahitaji FIFA standard stadiums hiyo $270 mln inajenga viwanja vitatu tanzania vya level ya Mkapa. Kuwa nazo hizo fedha mkononi halafu tangaza tender! ukichukua mkopo haki ya nani unagongwa, na hii ni kiashiria cha Mikopo ya kiduanzi yaani SGR Kunyaland style.
Hapa sikubaliani,kwamba viwe tu viwanja vya kawaida kama Cha MKapa,inakuwa ni kutotendea haki michezo mingine.

Stadium ina comprose standards za viwanja kama vya Olympics.
 
Hapa sikubaliani,kwamba viwe tu viwanja vya kawaida kama Cha MKapa,inakuwa ni kutotendea haki michezo mingine.

Stadium ina comprose standards za viwanja kama vya Olympics.
Kama FIFA wameupitisha wewe ni nani kubisha? Uwanja wa $270 mln for what kwani sisi tunashiriki Premium league kusema zitarudi? Uwanja wa Mkapa timu kibao za Ulaya zimefanyia mazoezi! Na hauna mpinzani East Africa!
 
international airport while only embraer 190 type of aicraft can land! Show me A220-300 in that Kisumu airstrip

Angalia aircraft zinahudumiwa Kisumu airstrip

Dodoma rnda ulinganishe
international airport while only embraer 190 type of aicraft can land! Show me A220-300 in that Kisumu airstrip

Angalia aircraft zinahudumiwa Kisumu airstrip

nimewatch hiyo video yako nikachoka tu😁. reminds me of chato international airport
 
Kama FIFA wameupitisha wewe ni nani kubisha? Uwanja wa $270 mln for what kwani sisi tunashiriki Premium league kusema zitarudi? Uwanja wa Mkapa timu kibao za Ulaya zimefanyia mazoezi! Na hauna mpinzani East Africa!
Mkapa bado ni ya mazoezi while kasarani is busy hosting world championships😂😂😂
 
Kama FIFA wameupitisha wewe ni nani kubisha? Uwanja wa $270 mln for what kwani sisi tunashiriki Premium league kusema zitarudi? Uwanja wa Mkapa timu kibao za Ulaya zimefanyia mazoezi! Na hauna mpinzani East Africa!
Michezo sio mpira wa miguu tuu,unaelewa hili? Hao wengine hizo venues watazitoa wapi?

Mwisho hiyo bei ndio bei halisi au? Yaani uwanja sh.bil.500?
 
tulisema hii vita haitoingiliwa na atakayeingilia basi inakuwa vita kubwa,

some time marekani inaropoka tu huwa inajitoa ufahamu huwa haijiangalii matendo yake ya kivita kipindi cha nyuma iliyowahi kufanya,
pia umoja wa mataifa kuna mahala pakubwa inakwama ,
kama USA na washirika wake pia UN wanahitaji usuruhushi basi waende kule kuzuia vita ya parestina na israel wanaopigana miaka nenda rudi

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom