Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CHUGA skyline inazidi kuwa hatari
moizhusein_1645716408113172.jpg
 
Yaani bado wanataka kushindana kwenye apartments? Kuna wengine wao walishakubali kwamba kwenye apartments Kenya ipo mbali sana ila naona kuna mwingine anaitwa toptorn bado anataka battle ya apartments. Egypt na South Africa pekee ndio pengine wameshinda Kenya kwenye suala la apartments. Na hata Watanzania wengine hawapendi hii battle, huyu toptorn atakuwa ni mgeni huku.
Wanaziita boxes na dormitories kwa kejeli just because they don't have enough to battle with us but ndani ya mioyo yao wanazimezea sana mate. That's why you'll see them posting the few apartments they have whenever the opportunity arises and say how good they are. Kwanza zile za Dege eco village wanapost humu sana. Sadly looks like it stalled coz there's not much going on there. Jana kuna mmoja alipost apartments za mtaa wao wa kifahari Masaki na kuzimimia sifa tele tele while saying how good Masaki is than Karen because of the apartments nikabaki tu nikicheka. The hypocrisy in these guys is sickening!
 
Kwa kinacho endelea kwa sasa sahau sisi kushuka kwa top ten, mda mwingine beberu zinapenda kulambwa ndio zikupe namba watakazoo,tazama tu izo sijui misadaa wanajifanya kutupa sita shangaaa GDP yetu mwaka huu ikafika 75-80 billions...lakin kiualisia sisi tuko close na 100b, inachekesha sanaa kwa miradi tuliyonfanya ndani ya 5 yrs bado wakaiwek GDP around 65, tena kama unakumbuka kukatokea mkanganyika kati ya serikali na IMF thidi ya ukuaji wa uchumi wao wakidai tuko around 4% wakat serikal ikisem tuko 5.5% wakiw pamoja AFDB , aibu iliwashika wakabadil tena kuwa 5%
Rebase inakuja next year GDP sitashangaa ikifika 95bn
 
Back
Top Bottom