Shoddy works maana hakuna mvua za kutisha hapo ila base ya pillar ime give way.Mnaona Madhara ya kutumia matofali badala ya MSE Walls kujenga pillars za structures! Overpasses and interchanges hizo zinameguka na kuenda kama uyoga! Hivi nyie zero percent brain kuna kitu gani mnajua?
CC: Teargas, Tony254, komora096 , NairobiWalker, KENPAULITE n KANAIRO