Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo benki zimewekeza fiat au real money?

Ni sawa leo ni code smart contract na kutengeneza coin yangu halafu watu wakawekeza. Mwakani coin hiyo ikiongezeka "thamani" (out of a thin air) nikawa na $1000million. Nitakuwa nahesabika kuwa ni bilionea, ila kiuhalisia ni utajiri wa makaratasi tuu.

Sawa tu na ku wekeza kwenye cryptocurrency, the unregulated private currency.
 
Nimewatch video fulani pale youtube mtz akicompare Kenya na TZ. Naskia hamna Uber/Bolt/taxify
Anyway point ya sita will shock you

Hivi kuna nchi 2022 hii haina Uber/bolt etc ? Kama unafikiri Tz hakuna hizo huduma ni dalili ya mtu asietoka ndani ya kanchi kake!
 
Nimekueleza leta evidence yoyote hata render tu, au plan ya ujenzi. Ukikosa hio leta article ya gazeti. Yaani hio tweet pekee sio evidence na haitoshi mboga. Ukikosa vyote leta hata video.
Kiukweli wivu utakuua 👇

Screenshot_20220224-132215.png


Screenshot_20220224-132248.png


Screenshot_20220224-131331.png


Screenshot_20220224-131711.png


Screenshot_20220224-131352.png
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Mkwara wa Putini ni next level aisee
 
Back
Top Bottom