tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
WakutuzidiKwani hao Ghana wanauchumi gani?
WakutuzidiKwani hao Ghana wanauchumi gani?
ila mchina sijui kama ufalme atauona 😂😂
ila mchina sijui kama ufalme atauona 😂😂
Heb Acha kuwashindilia mabisu ya roho watakufa Mungiki 😂😂😂ile SGR viaduct pale Tsavo naskia ipo mbioni kudidimia pia!
![]()
Usiwaamini sana hawa. Wanataka vita ya 3 ya dunia. This time watapasuana wenyewe kwa wenyewe. Hakuna mwafrika ataenda kusaidia. Labda wakenya tuPutin ameingia Kiev,aise!

Vitu kama hivi ndio hua vinafanya tuwadharau. Gazeti zima kama hilo limeshimdwa kufanya utafiti na kujua kwamba hivyo vichwa ni vya majaribio. Na ni vya mkandarasi.
Usiwaamini sana hawa. Wanataka vita ya 3 ya dunia. This time watapasuana wenyewe kwa wenyewe. Hakuna mwafrika ataenda kusaidia. Labda wakenya tu
Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobl
ni nomaStand Ilemela Mwanza on final touches, Nairobi haina hata pagale mfano wa stand