Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

airstrip inatumika 24 hrs na inatua A220-300 hebu tuonyesha night vision facilities Kisumu airstrip!

Angalia Uhuru akishuka

Yani jamaa sijuhi unaachanga akili wapi ukiandika hoja😁,,, kisumu ina international Airport wewe bado unataka nikuletee picha za Airstrip! ndio iweje?
 
Yani jamaa sijuhi unaachanga akili wapi ukiandika hoja😁,,, kisumu ina international Airport wewe bado unataka nikuletee picha za Airstrip! ndio iweje?
international airport while only embraer 190 type of aicraft can land! Show me A220-300 in that Kisumu airstrip

Angalia aircraft zinahudumiwa Kisumu airstrip
 
Yaani hoteli ya $1.6 billion? Huo ni uongo. Katafuteni sokwe muwadanganye lakini sio sisi. Leta evidence zote nataka kuziona. Na kama ni ukweli basi hapo nakubali mumetuchapa kiboko kizito.
Tony254 acha ubishi wewe ujui kuwa mabasha na mashoga wa ulaya ndiyo wanao taka kujenga hiyo kitu hao watu wako na pesa chafu nyingi mno, The Sunk Cost Fallacy mwambie huyo mukenya
 
nimepitiapitia kidogo google. hio new stadium ina seat capacity ya 50,000 na imejengwa kwa $270m ..
senegal pia wana uwanja mwingine wa 60,000 seat capacity

na hio Dakar Arena ina seat capacity ya 15,000 na imejengwa kwa €100m

kazi kwetu Tanzania!
Khaa wamepigwa! Ukiwa na hela mkononi stadium haizidi $100 mln tena ukichanganya na Arena ni kama $150-160 mln. Itakuwa vimejengwa kwa mkopo! Kunyaland style!
 
nimepitiapitia kidogo google. hio new stadium ina seat capacity ya 50,000 na imejengwa kwa $270m ..
senegal pia wana uwanja mwingine wa 60,000 seat capacity

na hio Dakar Arena ina seat capacity ya 15,000 na imejengwa kwa €100m

kazi kwetu Tanzania!
Yeah, huu mpya wamezindua juzi jumanne.

Quality nzuri na design.. Hata capacity ni Sawa. Tukipata kama hicho Kwa Dom, Mwanza, au Mbeya itakuwa Safi sana. Kaskazini napo Sawa ila hakuna muamko wa kisoka sana kule.

Bei ya ujenzi VS uwanja ni sahihi kabisa.
 
Khaa wamepigwa! Ukiwa na hela mkononi stadium haizidi $100 mln tena ukichanganya na Arena ni kama $150-160 mln. Itakuwa vinajengwa kwa mkopo! Kunyaland style!
inategemea na facilities mzee cheki emirates stadium ilijengwa kwa bei gani
 
inategemea na facilities mzee cheki emirates stadium ilijengwa kwa bei gani
Mzee tunahitaji FIFA standard stadiums hiyo $270 mln inajenga viwanja vitatu Tanzania vya level ya Mkapa. Kuwa nazo hizo fedha mkononi halafu tangaza tender shindanishi! Ukichukua mkopo haki ya nani unagongwa, na hii ni kiashiria cha Mikopo ya kiduanzi yaani SGR Kunyaland style.
 
Napendekeza kila MTANZANIA na MKENYA tufanye bidii na tuchukue mabibi kutoka Ukraine,tusaidie dunia kwa jinsi tunavyoweza😍
Vitu Vizuri vinateseka na tupo hapa!!
Tusiteseke na malokali tena!!Tupande internationali🔥🔥
 
Back
Top Bottom