Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio kwamba mtapenda bali itawalazimu, maana viwanda vyetu vitakuwa vina produce products kwa gharama nafuu kuliko viwanda vyenu cz tutakuwa na umeme wa kutosha na wa bei nafuu, hivyo kupelekea kuteka soko la finished goods hapa EA na SADC pia.
Nakuambia hata finished goods zenu mkiziuza bure hatutakubali ziingie huku.
 
Zile picha mbili za apartments na iliyoandikwa dagoretti sasa zimewacha kuwa Karen? Utatii! πŸ˜‚
umekimbia tayari nye nye nye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vumbi tupu eti karen ufananishe na masaki ni sawa mbingu na ardhi
 
Kumbe Karen na yenyewe ni Slum la haja 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Yaani kukosa Slum kunyaland ni sawa na kukosa kunguni gerezani

View attachment 2126785
ndio maana hawanipendi mwengine anakwambia hua hanijubu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo mimi huwa simjibu. Mbishi mjinga. Yani Hugo kubidhana naye heri nichukue mop niingie indian ocean nianze kumop.
 
Ni hekima pia kutumia kichache ulicho nacho vizuri.
unamaanisha nini? Ndege zetu zinaenda Ufaransa na Ubelgiji? Yaani unataka kusema kupanda kwake ndege ya Emirates na kutumia gulf stream gharama zipo wapi? Amekaa zaidi ya wiki France halafu akaenda Belgium hebu kwa haraka haraka piga mahesabu gharama za kui-park huko! Mimi binafsi sijaona tatizo la yeye kupanda commercial flight Emirates!
 
huyoooo kachanganyikiwa sasa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Nimechanganyikiwa kuona so many dreamhoues spread throughout the place
 
kuna shida gani hapo??πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 2127195
Kuna mtu Munjombe anadai ati Mkataba umesema vifaa vya mkandarasi yaani Yepi Merkezi lazma viwe vipya ina maana aingie gharama ya kununua vichwa vipya kwa ajili ya testing kwa kila mradi! Ikumbukwe kabla ya hapo Yapi merkezi walikuwa Ethiopia, Senegal pia nchi zingine za middle east na Uturuki yenyewe! Jamani vichwa vya treni si magari!

 
urhhehehheheheheh leo unaikana karen 🀣🀣🀣🀣🀣 hamuwezi nipenda nyinyi mwambie mwenzako asiponijibu mm hua namka makavu live
Sasa unataka nikubali Dagoretti ni Karen ili iweje? Ndio nikufurahishe ama? Karen ukienda hutatamani kurudi uswazini Dar kwenye joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…