Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The JKIA
FB_IMG_1645202792212.jpg
 
Unajuwa siyo haki kuhukumu watu wote kwa makosa ya kiongozi ila viongozi wanauwezo mkubwa sana wa kuwajenga kifikra raia wao.

Wakenya wengi zile fikra zao za umimi, ujuwaji, unyama na kujipendekeza kwa wakoloni wao, zilitoka kwa Kenyatta. Na athari zake zipo mpaka leo.

Vivyo hivyo na sisi watanzania, wengi wetu tuna zile fikra za kujishusha, kujali wengine, kuwa na utu, kama vile alivyokuwa Mwalimu.
Lakini mimi nikiona mtu anajipendekeza kwangu kiasi yenye Watanzania hujipendekeza kwa Afrika kusini ataanza kuniboo. 🤣🤣
 
Sisi tunajipendekeza kwa Afrika kusini si nyinnyii humu ndani mko mnangàngània kuingia visa free SA?
Hehehe, hatujipendekezi kwa Africa kusini kama nyinyi. Anayetaka kwenda Afrika Kusini kwa shughuli zake ataenda kama tu nchi zingine na kawaida, wasafiri hutamani kuingia wanakotaka kuenda kiurahishi so lazima kila msafiri atataka kuingia anakotaka Visa-free. Sio Afrika kusini tu bali kila nchi. Tusichofanya ni kujipendekeza kwao, hiyo ujinga tumeachia Tanzania.
 
Back
Top Bottom