Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mwatate wundanyi road is a road trip plug...
FB_IMG_1645218125377.jpg
 
Punguza ujinga, huu ujinga wenu wa kusema Mambo ya uongo bila ushahidi Peleka huko Kibera, Tanzania tunakula mahindi na mchele mwingi kuliko ninyi wakenya, Tanzania kwa mwaka tunazalisha 7M tonnes of maize, 90% tunatumia wenyewe, Kenya mnazalisha "only 3M tonnes of maize.
Umemchana vizuri huyu mpuuzi!
 
Kuna $ 153.8 Billions ambazo TRA haijazikusanya, now tungekua na $ 222 B na ushee. Tunafeli sana
 
Umejisahau vp nyie mnaendeleaje?
Sie hatujawahi kujilinganisha kimziki na Wanigeria, hahaha. Sie tulishakubali zamani kwamba tumeshindwa. Nyie ndio bado mnajishebedua. Mnaleta ligi na wao. Ila wamewapiga vibaya.
 
How ATCL touched down in London: Heathrow Airport Yesterday Under Heavy Weather 😜😜
 
Sie hatujawahi kujilinganisha kimziki na Wanigeria, hahaha. Sie tulishakubali zamani kwamba tumeshindwa. Nyie ndio bado mnajishebedua. Mnaleta ligi na wao. Ila wamewapiga vibaya.
Sisi tupo juu ya nigeria ,sababu tunatumia kiswahili ila tupo juu nigeria wanatumia English...tumia akili kujua logic yangu
 
Back
Top Bottom