Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini mimi nikiona mtu anajipendekeza kwangu kiasi yenye Watanzania hujipendekeza kwa Afrika kusini ataanza kuniboo. 🤣🤣
Hakuna anayejipendekeza kwa wa Afrika kusini, tunaposema ni ndugu wa damu ni kwasababu damu zetu sote zilimwagika kupigania uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika. Kiukweli pamoja na yote, tulifanya hivyo ili kujilinda.

Wale ma Boers walishaota mapembe, walikuwa teyari wameshaanza kuongeza himaya yao kwenda kaskazini, walishaichukua Namibia, walikuwa wanampa silaha Savimbi (Angola) na walikuwa wanamsaidia Ian Smith (Zimbabwe). Teyari walishaenda kuipindua Usheli sheli na ilikuwa ni muda tuu wangekuja hadi kwetu.
 
Hakuna anayejipendekeza kwa wa Afrika kusini, tunaposema ni ndugu wa damu ni kwasababu damu zetu zilimwagika kupigania uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika. Kiukweli pamoja na yote, tulifanya ili kujilinda.

Wale ma Boer walikuwa wameshaota mapembe, walikuwa teyari wameshaanza kuongeza himaya yao kwenda kaskazini, walishaichukua Namibia, walikuwa wanampa silaha Savimbi na walikuwa wanamsaidia Ian Smith Zimbabwe. Walikuwa teyari wameshaenda Usheli sheli na ilikuwa ni muda tuu wangekuja hadi kwetu.
This proves everything. Yani, the number of times you say this on this forum is embarassing. Hata wasauzi wenyewe watamuonea huruma. 🤣🤣
 
Hakuna Mkenya mwenye akili anayeweza kulinganisha Mwanza na Mombasa. Mombasa hulinganishwa na Dar.
Samahani mheshimiwa mbona hujamalizia sentence yako vizuri? Nadhani ulimaanisha hivi👇
Hakuna Mkenya mwenye akili anayeweza kulinganisha Mwanza na Mombasa. Mombasa hulinganishwa na Darfur.
 
Saizi serikali ya mama ina pesa kama zote.Internationally wako na mama,ndani ya Nchi revenues ziko kama zote.

PM 👇

Screenshot_20220218-185317.png


Screenshot_20220218-164347.png


Screenshot_20220217-194737.png


Screenshot_20220218-161933.png
 
Proving what?
That you bootlick them,

Break it down.
You keep on posting how they are your brothers - you won't find South Africans singling out Tanzanians as their brothers. During the xenophic attacks, in fact Tanzanians died.
Sijakuelewa unamaana gani hapo?
Yani South Africans will pity how you are always bootlicking them. There's visa-free entry policy amongst all SADC countries but you won't see other members of SADC making a big fuss like Tanzanians make over their Visa-free entry to SA. Hehehe
 
Mwanza
Kituko cha mwaka
Hii picha tu inameza ghorofa zote za mwanza, arusha, mbeya city sijui miguluka ipiView attachment 2122844
naomba ruksa nipost bila filter plz 🤣🤣 mm niliwaambia hapa mombasa haitoboi hata kwa ukucha kwenye modern city kwa mwanza never ever na bahat nzuri miji yote miwili naijua kindaki ndaki ww huna chakusema
 
komora096 magorofa yenyewe ndio haya ya udongo uchafu juu ya uharo 🤣🤣🤣

joho amekaa miaka 10 as a governor nini cha ajabu kaifanyia mombasa zaidi ya kuuwa uchumi wa coast na kumiliki karibia maeneo mengi ya bandari??

D6E36E1F-B8AF-4988-B849-EAAAFA1D5ADD.jpeg
B08CDB25-97EF-480D-A04B-B866B62F5C08.jpeg
 
Kwhyo kenya hakulimwiee, acha kujidanganya wewe hta ule wakati unaskia kenya inahitaji chakula especially mahindi huaga ni surplus ndio tunahitaji..

Ukumbuke tuna consume kuwaliko licha ya nyie kuwa na population kubwa...
Usidanganywe na mtu bana, kenya wakulima wa ndani wapo sema tu serekali haitaki kutilia maanani ukulima kw sababu ukiangalia sana kwenye irrigation schemes hazifanyi vizuri lkn bado serekali..

Bura tana irrigation scheme inauwezo wa kulisha kenya nzima sema tu bado viongozi hawana hamu nazo sijui au nisemeje..

Galana kulalu nayo ndio usiseme, hayo mabo eti ardhi amepewa mkoloni peleka hko..
Wale wanalipa kodi km dangato anavyofanya kule mtwara
Punguza ujinga, huu ujinga wenu wa kusema Mambo ya uongo bila ushahidi Peleka huko Kibera, Tanzania tunakula mahindi na mchele mwingi kuliko ninyi wakenya, Tanzania kwa mwaka tunazalisha 7M tonnes of maize, 90% tunatumia wenyewe, Kenya mnazalisha "only 3M tonnes of maize.
 
That you bootlick them,
Butlicking is not in our DNA, we kicked the British out when they supported Ian Smith, what are you talking about?
You keep on posting how they are your brothers - you won't find South Africans singling out Tanzanians as their brothers. During the xenophic attacks, in fact Tanzanians died.
Not just South Africans, all SADC members are brothers, that comrade spirit only comes from people who fought in a war together, you don't know that because you never had the guts to wedge war with any country.
Yani South Africans will pity how you are always bootlicking them. There's visa-free entry policy amongst all SADC countries but you won't see other members of SADC making a big fuss like Tanzanians make over their Visa-free entry to SA. Hehehe
These words must come from someone who has to wait in line to get a visa.
🙂
 
Back
Top Bottom