Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The 12th biggest town in Tanzania inafanana kijiji. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kijiji eeehhhh[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-805996980.jpg
 
Kweli Tz noma yani Kijiji kina lami na mpangilio bora kuliko Nairobi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-805996980.jpg
 
nairobae ona uvundo huu alafu chagua to whom are you going to vote for [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-1645241904.jpg
JamiiForums2115952012.jpg
 
Sumbawanga 12th biggest town in TZ. Hii ni kijiji walai.

Naona umeiogopa Sumbawanga, alafu ckia kabla utaje Sumbawanga kumbuka kuna miji ifuatayo[emoji116][emoji116]

Tanga
Arusha
Kagera
Iringa
Mbeya
Pwani
Shinyanga
Kilimanjaro
Morogoro
Zanzibar
Mwanza
Tabora
Dodoma

Sasa hiyo namba 12 ya Sumbawanga umeitoa wapi? Yani hyo miji niliyokutajia hapo juu yote imekucha, na ndiyo maana huwa tunawaambia Tz imeendelea kuliko Kenya, ukibisha na wewe weka miji 13 ya kushindana na hiyo niliyoitaja hapo juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Musoma (ndio capital ya Mara region ambapo Sumbawanga nayo inapatikana)
Singida
Bukoba
Kahama
 
Yani wamechimba chimba cjui wamechimba nn, ka barabara kanakoenda kukutana na hiyo mitaro waliyochimba ni kembamba, huku pembeni shimo, katikati shimo, kulia shimo, kushoto shimo, I bet engineers ni wakunya[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2122688
mvua ya maana ikikandamiza hapo kwa down tunapata swimming pool

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Naona umeiogopa Sumbawanga, alafu ckia kabla utaje Sumbawanga kumbuka kuna miji ifuatayo[emoji116][emoji116]

Tanga
Arusha
Kagera
Iringa
Mbeya
Pwani
Shinyanga
Kilimanjaro
Morogoro
Zanzibar
Mwanza
Tabora
Dodoma

Sasa hiyo namba 12 ya Sumbawanga umeitoa wapi? Yani hyo miji niliyokutajia hapo juu yote imekucha, na ndiyo maana huwa tunawaambia Tz imeendelea kuliko Kenya, ukibisha na wewe weka miji 13 ya kushindana na hiyo niliyoitaja hapo juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pwani town ndio gani?😅😂
 
Back
Top Bottom