The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
GDP za Nchi za Kiafrika Including Kenya😁😁👇👇
😀 Huko alikoenda ssh lazima wafuate mashart na hawawezi kuruhusu TZ iwe na control over mineralsView attachment 2120609
Kwa utaratibu huu hizi refineries zitakuja kufa halafu tuanze kuzitafutia wawekezaji
Hizo containers ndio buildings za dodoma hama😄😄😄Dodoma, the most modern and beautiful interchange ever in East and Central Africa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2120580
Hii inchi bila kua na viongozi madhubuti, wenye uchungu na inchi na wenye kusimamia maslai ya inchi hakuna kitu...why transport Gold kwenda Dubai for refinery while tunazo refinery local...hii ni kinyume kabisa na malengo ya kuanzishwa kwa hizi refinery...kwann tunapenda sana biashara ya Umachinga?View attachment 2120609
Kwa utaratibu huu hizi refineries zitakuja kufa halafu tuanze kuzitafutia wawekezaji
Kweli, this guy Joto la joto la jiwe ni hatari,namkubali Sana longtime hpa JF.be blessed bro.🙌Huyo noma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanaume mzima na makende mbili unashinda ukipost video za mumama akijibamba na umama wake? Uko na umama hata kumshinda.🚮🚮
Evidence?Watu huku bure nyie hela
Mbona flow ya magari iko poa mkuu?Hapa panahitaji interchange.
endeleeni kupika data! Yaani unataka ku-claim Kunyaland ni upper middle income!
Anaurush tuu mzigo
hebu ona Gini. yani ratio ya maskini kwa tajiri.endeleeni kupika data! Yaani unataka ku-claim Kunyaland ni upper middle income!