Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Marvelous Dar

BBE5810C-8271-4E5C-AB1C-118076A43782.jpeg


F834AF17-9F09-4586-8E7D-D190F1903EF6.jpeg


1749094A-F51C-45A8-8619-F5FF7094076A.jpeg


43652D08-50AD-4FF5-83D4-9BFBE54A1A1F.jpeg


5F828124-C184-4545-AD57-115D23184FF1.jpeg


926586FF-C2EB-42EB-88B7-A64F17B88103.jpeg


80B99008-AC9E-46E5-B983-770D5BB95A01.jpeg


04F7EA94-5A00-4A9D-ADFC-79DF9858186F.jpeg


01F65495-BFAB-40F6-B5EF-44FC97D079AE.jpeg


46892483-6DA8-4BCA-88D1-CA6561CB0195.jpeg


ADC46D7E-E54A-4266-86B1-A64CA551B264.jpeg


7D3645B0-5DBF-4F02-8EB4-C340A29B4B25.jpeg


255A99F7-2FF6-4BF9-8C94-979EB31C281F.jpeg


DCB1C879-5EFD-4F0B-A388-1A6697C418D5.jpeg


53418407-9549-4C8D-8426-084F7814CB1F.jpeg


0B8B8ECA-0BE2-4CB4-B6BD-73B8B6837E0A.jpeg


A3DDA17F-FACC-4CE7-9E5A-7B8FA4CD2438.jpeg
 
Bado napenda Tanzania na bado naamini uchumi wenu upo under-valued. Nimesema hivyo kwa muda mrefu sasa kwamba kulingana na miradi mingi inayoendelea Tanzania na kwamba mnaeexport chakula ukanda wote huu na munauza dhahabu ya $3 billion kwa mwaka, uchumi wenu haustahili kuwa mdogo hivyo. Gdp yenu inastahili kuwa mkubwa kushinda hio $70 billion ambayo serikali huwa inataja. Halafu mumekwama hapo kwa $60-70 billion kwa miaka mitano au sita sasa japo uchumi wenu unakuwa kwa asilimia 5 au 6% kila mwaka. Licha ya kurebase uchumi wenu mwaka wa 2014 na 2019 bado uchumi wenu umekwama pale pale. Tatizo liko wapi ikiwa nchi kama Ethiopia ambalo lina a more primitive economy linashinda uchumi wenu kwa ukubwa? Mimi huwa ninashuku Tanzania bureau of statistics haina ujuzi unaofaa na wanahitaji msaada kutoka nje ili waweze kupima ukubwa wa uchumi wenu vizuri.

Kuna uwezekano wameshindwa kuzingatia sector mpya zinazoingia kwenye uchumi wenu kwa mfano boda boda wa pikipiki wamekuwa wengi sana miaka mitano zilizopita hapa Africa mashariki, hii lazima izingatiwe kwenye kucalculate mapato ya nchi kama sub-sector mpya ya transportation and logistics. Na mambo ya internet nayo imechipuza biashara mpya kama ya kuuza na kuchuuza bidhaa kupitia mtandao. Halafu miradi mikubwa kama JNHPP ambayo ni takriban $2.5 billion na SGR yenu ambayo ni zaidi ya $4 billion, unaweza imagine kama ni cement au vyuma vinanunuliwa ndani ya nchi basi ni cement ngapi zinanunuliwa hapo? Miradi za daraja ni cement ngapi zinanunuliwa hapo? Ni watu wangapi wanapokea mishahara wanaofanya kazi kwenye miradi hii? Yaani itakuwaje uchumi wenu umekwama kwenye $60 billion kwa miaka mitano? Haiwezekani, lazima kuna tatizo mahali.

Mimi huwa naona uchumi wenu umekaribia wetu na unastahili kuwa around $90 billion. Lakini hio ni maoni yangu tu kwa sababu sijakaa chini na kupitia ripoti ya gdp yenu kwa undani kama nilivyofanya ya Kenya. By the way, Imf wana kitengo maalum ya kusaidia nchi masikini kuboresha statistical reporting capacity zao. Nchi nyingi za Africa zipo hovyo sana katika kupima ukubwa wa uchumi zao. Kuna nchi za central Afrika ambazo hazijawahi kurebase uchumi zao kwa zaidi ya miaka ishirini. Nchi nyingi za Afrika zipo hovyo sana kwenye suala hili. Inawezekana Kenya tunabahatika kupata training na maarifa kutoka Imf na World Bank kwa maana taasisi hizi zina regional headquarters hapa Nairobi. Halafu Kenya sisi tunapenda kujipendekeza kwa wazungu so unakuta Wafanyikazi wa KNBS wanapata training kila wakati jinsi ya kupima na kuclassify different sectors za uchumi. Wafanyakazi wa KNBS huwa wanakwenda hadi ulaya kupata trainings kila uchao kwenye masuala ya kumeasure, kuclassify na kureport different sectors za uchumi. Tieni bidii kidogo kwenye hili. Nchi kama ya South Afrika ipo mbele sana kwenye suala hili kiasi cha kwamba wao hurebase uchumi wao kila baada ya mwaka mmoja badala ya kila baada ya miaka mitano kama tunavyofanya Kenya na Tanzania. South Afrika wao wanarebase kila mwaka kwa sababu wana pesa na ujuzi na wataalam wa kutosha.
Uchambuz wako siyo mbaya
 
Fukara na wakati hayo makampuni wananchi wa kawaida ndio main customers

Sasa hzo fedha nyingi wanzitoa wapi km wananchi kiuchumi wapo hoi km vile bongo.
Nyie kuleni mihogo bana
Wachana na izo excuse ndogo ndogo, unajua fika life yenu ni kma tu watu pori, ushaidi mzur kipindi kile cha kukatik umeme watu wameweka kande kwa fridge ndio msosi eti, wakenya mnaishi kwa shida sanaaa kataa kubali..na km huamini niambie nikuweke ushaidi hapaaa
 
Yaani wewe mawazo yako ndio yale baba levo aliyaita bichi kindimbwi......

  1. Tuna wasomi wengi kuwa shinda.
  2. the best bank in east africa.
  3. best hospitals in east africa,
  4. best roads in east africa,
  5. best university in east africa.
  6. biggest port in east africa.
  7. longest road network in east africa.
Yaani kenya tuna kila kitu zaidi yenu....
Umesahau ,
1.slum dweller (60%)of all nirobary
2.high rate of unemployment
3.thiefs
4.refugees
5.animal rapist
6.poor education ( kazi kuzurura na suti kisha kurudi kwa slums zenu)
The list is endless
 
Yaani wewe mawazo yako ndio yale baba levo aliyaita bichi kindimbwi......

  1. Tuna wasomi wengi kuwa shinda.
  2. the best bank in east africa.
  3. best hospitals in east africa,
  4. best roads in east africa,
  5. best university in east africa.
  6. biggest port in east africa.
  7. longest road network in east africa.
Yaani kenya tuna kila kitu zaidi yenu....
Nilisahau
7.mnapata chorera mpka leo( eti tuna sector bora ya afyaburundi anawazidi
8.Mnakufa njaaa mpka leo
9.total failer in planning from BRT to essigiaraa
10.Poor hygiene( wachafu sanaaa)
 
napenda sana jinzi nyinyi watanganyika mnavyo ienzi na kuiabudu saana nchi yenu. mna imani nayo kweli.! ila jua tu ya kwamba, nchi flani kua na gdp mara mbili ya nyingine, isitaraji kuishida kwa basics kama stima, barabara, hospitali, elimu, financial sector, Agriculture, tourism, sport, aviation, maritime, industries etc etc etc.......... sekta ambayo tz inaizidi kenya ni sekta ya madini tu...
hii hapa takwimu ya stima duaniani, toka reporting ya merikani in electricity production in Gigawatts

(however hard you try in almost all sectors, lakini bado kenya hamtaiweza..... kisa, huge gdp difference)

View attachment 2120158View attachment 2120161
Bwawa la Nyerere likikamilika , uwalete hawa unao isi wamekubeba leo
 
Nilisahau
7.mnapata chorera mpka leo( eti tuna sector bora ya afyaburundi anawazidi
8.Mnakufa njaaa mpka leo
9.total failer in planning from BRT to essigiaraa
10.Poor hygiene( wachafu sanaaa)
KAMUULIZE BABA LEVO....ALIKUJA AKAJIONEA AKASHANGAA NA AKASEMA ITAWACHUKUA TZ MIAKA 25 KUTUFIKIA..WEWE ZIDI NA USHAMBA WAKO WAKUKAA TZ HUJUI CHOCHOTE
 
Kama ndo kiasi kinachohitajika kurekebisha upatikanaji wa maji Mbeya city?
You can't be serious kwamba Ndio maigizo,sherehe na sifa zote hizo ?

Nadhani hiyo ni gharama ya ku hire consultant wa ku design mradi, maana hapo wanasema wanatamani mkandarasi apatikane si zaidi ya miezi 6.
 
Back
Top Bottom