babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Hivi nikikuambia haya makontena yamebeba chakula cha msaada kuleta kenya failed state utaamini?
Halafu haya makontena ni baadhi tu.
Halafu haya makontena ni baadhi tu.
Ndege tano zinanunuliwa, kutengenezwa, kuja mwaka 2022.Lkn hizi ndege c zilishanunuliwa? Huyu anasemaje eti serkali kununua ndege tano mwaka huu, upumbavu wa kisiasa huu kumanina.
Dhumuni hapo lilikuwa kusifia awamu hii.advance payment ilikuwa tayar.. so anamaanisha kumalizia full payments
Duhhh, hawa jamaa ni wazembe na wasio na haya kabisa. Hiki kizazi cha ombaomba hapa EA inabidi kimalizwe kabisa kinatutia aibu.Hivi nikikuambia haya makontena yamebeba chakula cha msaada kuleta kenya failed state utaamini?
Halafu haya makontena ni baadhi tu.
View attachment 2120474
ndege mpya tano kuwasili mwaka huu
Duhhh, hawa jamaa ni wazembe na wasio na haya kabisa. Hiki kizazi cha ombaomba hapa EA inabidi kimalizwe kabisa kinatutia aibu.



cocoa hataaah.!
Kipi na kipi?Mbona vilikuwa vipande 3 vinajengwa? 🤔
ukweli kabisa kaka. hapo sipingi.. sisi tulikua shoga ya mzungu, ata walitupachika mimba na kutuachia baadhi ya majina zao, na wakaenda,...Sababu ya hizo kampuni kujaa inajulikana wa wakati socialism Africa ninyi mlikua madalali wa Western 😀😀😀
Hapa panahitaji interchange.
hiyo ni yako wacha sisi tungoje ya world Bank ambao waliwatoa ldc to mdc😹Nmeitoa kwenye thamani ya projects zinazofanyika Tz ambazo ni twice the price of all projects done by Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan, and Congo combined.
enda ulize magu kama amekula😸Wewe kijana wa mama Ngina umekula lakini!?🤣🤣🤣
Kama dar ndio interchange hazipiti tano sasa morogoro ndio ikuwe na interchange 😹😹😹Hapa panahitaji interchange.