kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,638
- 4,277
Wealth and GDP are two different things.
GDP is annual, wealth is lifetime.
hebu ona Gini. yani ratio ya maskini kwa tajiri.
tz na kenya iko level moja.! nyinyi huaga mnadai kiviingine
Hivi kagwe mutahi Yuko wapi?![]()






Senegal - 40km
Kenya - 500 km
If Senegal was as long as Kenya's, it would have cost KSh1.85 Trillion.
Also, locomotives are not the railway.
It's like equating a road to the cars that pass on it.
naona mnataka mfuge nyuki sasaGuess the City
View attachment 2120939
wape mwaka hilo litakuwa pori la ngeta!
wape mwaka hilo litakuwa pori la ngeta!



wanataka kuingia kwenye service zisizo na tija,mchina mjanja sana hapo muangalizi kwa kipindi chote atakuwa ni mchina ,kwa kipindi cha mwanzoni kutaendelea kustawi na kutunzwa vizuri ila hapo mbeleni atawaachia mzigo hapo ndipo matapishi yatakapoanza kuonekanaNinashukuru Sana mkuu kwa kunikubali, japo Jamaa zetu upande wa pili hawataki hata kusikia jina languKweli, this guy Joto la joto la jiwe ni hatari,namkubali Sana longtime hpa JF.be blessed bro.![]()





Hii ndio inaonyesha kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa Sana, haiwezikani Kenya kulipa Bei sawa na Senegal wakati GDP ya Kenya ni kubwa mara mbili ya GDP ya Senegal(Alisikika mchumi mmoja toka nchi jirani)




walilipa kwa hela za mkopo lakini! 🤣🤣🤣Hii ndio inaonyesha kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa Sana, haiwezikani Kenya kulipa Bei sawa na Senegal wakati GDP ya Kenya ni kubwa mara mbili ya GDP ya Senegal(Alisikika mchumi mmoja toka nchi jirani)![]()