Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na miradi mikubwa a.k.a mega projects tunazofanya kwa pesa za ndani hela inapitia wapi vileeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwahaha!!hamna uwezo huo kiuchumi nyie raia wa kwaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We kubali tu km wakenya wana nguvu kiuchumi hapa EA...

Eti miradi ya ndani wakati external debt ni kubwa inacheza 80%
 
Hahahaha, Tony naona kichwa kimepata moto Leo, unadhani nchi kuagiza bidhaa nyingi kutoka nchi zingine(Imports) ni positive or negative [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa wako kinyume sana na natural principles. Mfano utakuta Tony254 anajigamba kwamba kuna wengi sana nje ya nchi kuliko nchi nyingine ukana huu. Sasa yeye hajui hiyo ni sign moja wapo ya failure. Most of the failed states have a big number of their citizens abroad. Mfano ni hapo jirani zao wa hapo kaskazini. Nimetembea mabara yote duniani, hamna sehemu ambayo sikuwakuta. Mpaka kuna nchi fulani ulaya, kuna kaeneo wamejazana kanaitwa mogadishu. 😛 🤣 😆
 
Nyie endeni sauzi aflika bana, si tumeelewana sauzi aflika ndio kuna maisha mazuri sana kuliko sehemu yyte ile duniani
 

I can see how nerves have been tormented.
Relax, huu mchezo hauhitaji hasira. Jikaze tu hata kama huja pata kiamsha kinywa.
😛 😛 😛
 
I can see how nerves have been tormented.
Relax, huu mchezo hauhitaji hasira. Jikaze tu hata kama huja pata kiamsha kinywa.
[emoji14] [emoji14] 😛
Hamna nguvu kiuchumi bana[emoji1787][emoji1787]
Sasa wamkasirikia nani..
 
Tzn kuna udokozi,kujifuta kwenye maamuzi ila hakunaga rushwa.Rushwa na ufisadi uko Kenya na Nigeria huko
 

Unajua kwa nini inakuwa hivyo!!? Apart from the policy, but their system of doing things is in a well defined fashion. That is, almost all businesses are registered, this renders to all transactions to be recorded. Unlike our economies, which have a lot of unregistered businesses/enterprises that triggers to a lot of transactions go unrecorded.
 
big up ,umenena mzee

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Maneno kama haya yafaa yatoke kwa watu kama tuusan ama Walker255 . Lakini sasa ng'ombe kama wewe mwenye hujawai toa point ya maana hapa ambayo sii ushabiki ukiongelea ushabiki si ni kama fisi kuonya wanyama wengine against ulafi?[emoji706][emoji706]
yaani unaongea pumba,halafu unategemea upewe point huo siutakuwa ukichaa

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…