Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwan EACOP imeanza lini na dangote kaanza pumba zake lini, alafu total na dangote nan anajua zaidi kuhusu bishara ya mafuta na nan anategeneza ela chafu zaidi ya mwenzake, tukianza apo nigeria tu serikali imerudi kuimport petrol na wana dangote mzawa 😂😂😂😂😂😂
hii ndio ukiskia akili za kichawa ndio hizi, total anachimba crude oil apaeleke kwake kwenye refinery yake na CNOOC ni mchina anachimba crude oil apeleke kwake, ww unatuletea siasa za alinacha za kuota mchana kuhusu vitol? ile ilikua danganya toto baada ya tonge kuondoka mdomoni full stop
 
Chief, unafikiri investment ya 17bn dollars ni kama kuuza chapati? Hujiulizi unaleta construction equipment kwa kujenga refinery; financing arrangement imefikia wapi? Equity ya Dangote ni ngapi, na finance arranger ni bank gani, nani ana insure hiyo loan na pia is there any contract in place for the project na contractor? What are the financial, legal, and commercial terms agreed? Propaganda huwa ina mwisho wake.
mtu hawezi leta machinery imejaa meli mbili za over 3000 metric tons alaf unambie anafanya propaganda. hayo unayoulizia ww huwez kuyapata kwasababu huna access nayo ikiwa mkataba wa DP world huna access nayo kama mtanzania vipi unaulizia project ya watu?
 
hii ndio ukiskia akili za kichawa ndio hizi, total anachimba crude oil apaeleke kwake kwenye refinery yake na CNOOC ni mchina anachimba crude oil apeleke kwake, ww unatuletea siasa za alinacha za kuota mchana kuhusu vitol? ile ilikua danganya toto baada ya tonge kuondoka mdomoni full stop
1) icho girl mda wa kuolewa umefika, EACOP imeanza miaka mingi kabla hata ya dangote, yeye kaja kaikuta na mpango wa refinery ulikuepo toka mda mrefu including na ile ya hoima and infact m7 alisema kabisa ile sku ya uzinduzi

2) Tonge gan unaongelea? EACOP bomba linaishia Tanga, maana yake anaeweka refinery pale ana uhakika na non stop crude + gateway infact ata ruto mwenyewe alikua mstari wa mbele kabisa alifunga hadi safari kuja uku

3) Vitol ana refineries ngap na dangote anazo ngap?
4) wewe kama nan unasema ilikua danganya toto? wewe unajua nn kuhusu hio refinery kama sio kelele za hormonz za kike
5) achana na hio refinery, sisi tuna mradi wa $42B wa lindi ambao ushafika mwisho wa mazungumzo sasa ndo hio $16B ambayo inapatikana kwa kuchangisha afrika nzima ndo mradi ufanyike
 
mtu hawezi leta machinery imejaa meli mbili za over 3000 metric tons alaf unambie anafanya propaganda. hayo unayoulizia ww huwez kuyapata kwasababu huna access nayo ikiwa mkataba wa DP world huna access nayo kama mtanzania vipi unaulizia project ya watu?
apo vp?
1792738419850.png
 
BTW wewe kama una akili sana tuambie mafuta anaenda kutoa wap maana unaonekana una mdomo kuliko akili
 
Njia ya muongo huwa fupi 👇
Comparative FDI Overview (2024–2026)
    • FDI Inflows: UNCTAD estimates show Tanzania attracted approximately $1.7 billion in FDI inflows compared to Kenya's $1.5 billion. [1]
    • Total FDI Stock: Tanzania's total FDI stock stands at nearly $21.7 billion, outperforming Kenya's total FDI stock of roughly $12.7 billion. [1]
    • Recent 2026 Activity: In the first quarter of 2026 alone, Tanzania recorded $1.137 billion in total General Investment Society (GIS) capital—split between $579.54 million in FDI and $557.86 million in domestic investment—led heavily by Chinese and regional investors. [1, 2]
    • Bilateral Targets: During the Tanzania–Kenya Business Forum 2026, leaders set a joint target of $504 million in cross-border investments and $1 billion in bilateral trade to be pursued through the removal of non-tariff barriers by mid-2026. [1]
Do you know how to conduct a research? You are showing Tanzanian FDI research while on the Kenyan side you showing the FDI target between Kenya and Tanzania.

1792742053047.png
 
Back
Top Bottom