Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Umeongea mambo mengi sana.
Hilo la kwanza la ku import. Nchi ina import kulingana na mahitaji, haiwezi kuagiza kitu ambacho hamkihitaji. Mfano mdogo tu, Kenya inafanya importation kubwa sana ya food stuff. I think is in top 5 if not 3 in the list. Wakati sisi Tanzania ina inaingiza kiasi kidogo sana cha chakula kulingana na mahitaji yake.

Kuhusu hayo mengine uliyotaja, ni kweli yanavutia kuyasikiliza, lkn suala la msingi ambalo wakenya mnalisahau kila mara ni kuwa, mwananchi wa kawaida ananufaikaje kwa mfano safarikom kuwa na valuation kubwa?? na hapa siyo kuongea kinadhalia kwamba ajira zitakuwa nyingi, kodi itakusanywa nk, nk. lkn je mwananchi anaonekana kunufaika na haya. na kitu kinachostaajabisha ni kuwa, pamoja na kwamba kuna vitu vyote hivi ulivyotaja hapo juu, lkn bado kenya ina rekodi kiwango cha juu sana cha ukosefu wa ajira. hapo shida ni nini?? Should we embrance the idea of "the president to be" Mh. Ruto. Kwamba the "trickle down effect policy" fails kenya a big time!!??
 
Kwasababu wakenya wengi wanaishi kwa kutegemea sukuma wiki basi ndio unadhani mpk watz ni hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehehe!!umekasirika kisa ukweli, nawambieni hivi kiuchumi raia wa tz wapo hoi[emoji1787][emoji1787]
 
Hao raia unaosema hawana ajira ndio hao hao wanaotumia safaricom kufanya transactions zao mpka saf kufikia kiwango cha kupata faida maradufu..

We unaongea nini mzee bana
 
$150b wakati banking sector sufuri[emoji1787][emoji1787]
Hyo hela inapitia wapi, tax pia vile vile vile kiduchu..poleni sana
 
Mzee huwa nikiangalia picha za wakenya machozi huwa yananitoka.
Mtu mwenye pesa anabaka mbuzi.

Shame on you
View attachment 2119838
Watanzania kiuchumi mpo hoi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpka mashirika yenu ya "government owned"yanahaha kisa returns kutoka kw mwananchi wa kawaida ni kidogo hawana nguvu hyo kiuchumi


Kw mfano sportpesa tz hata sijui mara ya mwisho kuingiza faida hata nusu ile walikua wakipata kenya ni lini..
 

Lkn unaona reverse inayofanya, baada ya kugundua makosa yaliyofanyika??
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Ww kilaza kweli,unajijibu mwenyewe,hivi,unakusanya mapato makubwa,alafu yanaishia kwenye mifuko ya watu binafsi,yanasaidia nn?
Nyie zinazoishia kw watanzania wa kawaida mbona basi mumeshindwa kuimarika kiuchumi km rai wema[emoji1787][emoji1787]
 
$150b wakati banking sector sufuri[emoji1787][emoji1787]
Hyo hela inapitia wapi, tax pia vile vile vile kiduchu..poleni sana
Na miradi mikubwa a.k.a mega projects tunazofanya kwa pesa za ndani hela inapitia wapi vileeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…