Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
kama London🔥🔥
kama London🔥🔥
NAWEWE NAWE UMEMUUNGA MKONO CHOKORAA MWENZAKO UMEAMUA KUTOA POINTLESSKuna siku niliyasema haya lkn jamaa bado hawaelewi, yani hapo kw akili zake pawe na kilima
Yani gari iwe inateremka kuelekea katika junction inayokuingiza kw main road, huoni hatari hyo kabisa..
Maskin danzagiza...
Lkn naoana kw hayo majibu jamaa sasa atakua ywaugulia chooniView attachment 2118820




haibadilishi maama,hata ingekuwa high vipi hiyo sehemu ingeweza kukaa straight sababu hata urefu wa kupanda juu kupita hilo eneo ni easy ,ingewezekana bila longolongo,kilichofanyika hapo ni nothingView attachment 2118816Y’all cant stop re-posting this picture thinking you bright ay?
Aight, you asked why so let me apply my logic to answer.
First off i ain't no professional but clearly from the aerial view, you cant really tell how high that elevation is.. that section is an elevated overpass and they did that on purpose. you can see there is a rail passing underneath meaning there should be clearance at least 20 or so Feet high before descending.Therefore it would be a dangerous descent down the ramp along the path you labeled in red especially since there is a highway right at the foreground (right side) hence there had to be a curve to lower the steep drop.
Now, I wonder what they teach you simpletons in school but seems there is need for a complete overhaul of your education system if you keep bothering us with basic things that you can apply simple logic.
Ni kweli hapo kwa Magu kujenga JNHPP na SGR kilomita zaidi ya elfu moja, ilibidi mtu kama yeye mwenye mbegu nzito ya kidume kujenga. Viongozi wengine ni waoga tu, wanadanganya wananchi ili kupata kura tu ila hawana nia ya kujenga miradi mikubwa. Japo sikufurahishwa na jinsi Magu alivyoichukia Kenya, lazima nimpe hongera kwa udhubutu wake wa kuanzisha some of the biggest projects in East Africa.Kweli kabisa kaka, kuna vitu tulikuwa tunaona haviwezekani kwasababu ya uchumi mdogo lkn jemedari akawaonesha viongozi kwamba hakuna lisilowezekana chini ya jua, na ndio unaona leo hii tunafanya miradi kama ya reli but kabla ya Magu hakuna kiongozi wa hapa Tz alithubutu kujenga japo 0.0006cm ya reli.
Unaweza kuona hata mabwawa ya umeme ni yeye ndiye alianzisha ukiacha hayo mabwawa yaliyojengwa awamu ya kwanza, leo hii viongozi wanaona kila kitu kinawezekana na unaweza kuona jinsi tunavyojenga mtandao wa reli nchini, zamani ilikuwa vitu vinawekwa kwenye ilani ili kupata kura lkn havitekelezwi, walikuwa wanatekeleza vitu ambavyo kila Rais lazima afanye mfano barabara, madaraja haya kawaida kawaida, hospitals lkn vitu vinavyohitaji maamuzi mazito walikuwa wanaogopa kabisa hata kuomba mkopo
Magu was the real deal.
hawa ni waTz nimewajua since 2013. ni vijana ambao wanajituma sana kazini... 🔥kama Geza Ulole uko gikombaa.. please please wasabahi sana masera wangu flani, wachaga toka tz. wako hapo chini ya transformer along the main gikombaa path (lane). wanauza jumpers pekee. kuna mchizi flani inparticular anaitwa 'kichwa', mgotee sana na umshow yule customer beshte wako anaitwa 'engineer' kakutuma
mbinu=formulae,...ufisadi hata Tanzania inatumiwa, to us, ufisadi=impunity while rushwa=corruption/bribe (always involves money or favor exchange)! muundombinu=infrastructure, muundomsingi=?? (msingi=primary/foundation/basis) i don't hink has same meaning as muundombinu! In short lack of vocabularies on u guys make u have little words!
Tanzania ndio baba wa Kiswahili hapa Africa, ni jukumu letu kukikuza na kukieneza, kumbuka hata neno UKIMWI ndio tulianzisha.lakini nyinyi wabongo mna vijimambo.. mara eti covid19 sasa kwa kiswahili inaita 'uvuko19'. sasa jina uviko ulitokea wapi tena na 'covid' yenyewe ni ugongwa geni sana sana, hata haija maliza miaka mbili.!
Kamwe Magu hakuichukia Kenya, tatizo lenu ni "Cry baby syndrome" na attitude ya kuhisi ninyi mko sawa wakati wote wakati wengine hawapo sahihi.Ni kweli hapo kwa Magu kujenga JNHPP na SGR kilomita zaidi ya elfu moja, ilibidi mtu kama yeye mwenye mbegu nzito ya kidume kujenga. Viongozi wengine ni waoga tu, wanadanganya wananchi ili kupata kura tu ila hawana nia ya kujenga miradi mikubwa. Japo sikufurahishwa na jinsi Magu alivyoichukia Kenya, lazima nimpe hongera kwa udhubutu wake wa kuanzisha some of the biggest projects in East Africa.
Hawapendi kuitwa "wakunya" wanachukua hasa hilo nenoAaah Mkunya ni specifically kwa Wakenya kama Mdanganyika kwa Watanganyika! usipindishe maneno Mkunya ni jina la Mkenya!



Magu hakuichukia Kenya, nyinyi (wengi wenu) ni watu selfish sana. Mnataka mfaidike kwa mgongo wa wengine.Ni kweli hapo kwa Magu kujenga JNHPP na SGR kilomita zaidi ya elfu moja, ilibidi mtu kama yeye mwenye mbegu nzito ya kidume kujenga. Viongozi wengine ni waoga tu, wanadanganya wananchi ili kupata kura tu ila hawana nia ya kujenga miradi mikubwa. Japo sikufurahishwa na jinsi Magu alivyoichukia Kenya, lazima nimpe hongera kwa udhubutu wake wa kuanzisha some of the biggest projects in East Africa.
Leo unamsifia JPM kwenye JNHPP wakati ulikua unasema ni white elephant sababu hatutakaa tuumalize huo umeme? Au ni ile shule niliokupa imekubadilisha kiasi hiki, sababu huwa nakupaga shule kisha unaingia mitini na elimu yangu bila kusema Asante! ðŸ¤Ni kweli hapo kwa Magu kujenga JNHPP na SGR kilomita zaidi ya elfu moja, ilibidi mtu kama yeye mwenye mbegu nzito ya kidume kujenga. Viongozi wengine ni waoga tu, wanadanganya wananchi ili kupata kura tu ila hawana nia ya kujenga miradi mikubwa. Japo sikufurahishwa na jinsi Magu alivyoichukia Kenya, lazima nimpe hongera kwa udhubutu wake wa kuanzisha some of the biggest projects in East Africa.
Wewe engineer unaefanya kazi kwenye chumba chenye milango ya kuinua na una million 2 Bank kila mwezi kumbe na mitumba pia unavaa? 😆kama Geza Ulole uko gikombaa.. please please wasabahi sana masera wangu flani, wachaga. wako hapo chini ya transformer along the main gikombaa path (lane). wanauza jumpers pekee. kuna mchizi flani inparticular anaitwa 'kichwa', mgotee sana na umshow yule customer beshte wako anaitwa 'engineer' kakutuma
wapumbavu wanataka kushindana na Tanzania, huku wakunya wenzao wanakufa na njaa na wengine na wanaume wanaolewa ulaya kuganga njaa hahahahaUNAONGEA UTUMBO
nothing kamanda hakuna chamaana mnachofanya zaidi ya ushamba na matumizi mabaya ya pesa,
kwani bila hayo maduara duara ya siyo na maana hamuwezi kujenga road na car zikapita kuelekea otherside of town au ni ushamba tu na matumizi mabovu ya pesa,ingekuwa ni hivyo basi katika kila nchi kwenye hii dunia ingejenga hiyo miduara isiyo na faida ili cars ziende town na otherside,
huna akili kichwa chako box
hii ni nini sasa huko vichakani
View attachment 2115785
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Siyo Magufuli tu hamna Mtanzania mwenye akili timamu yeyote atakayeweza kuipenda kunyalandMagu hakuichukia Kenya, nyinyi (wengi wenu) ni watu selfish sana. Mnataka mfaudike kwa mgongo wa wengine.
Watanzania wengi na marais kabla ya Magu, walikuwa na zile fikra za ujirani mwema hata kama wao wanaumia. Magu akasema f$ck that, mbwai iwe mbwai.
kama vile huyu mlevi alivowadanganya 🤣🤣🤣👇👇👇👇Ni kweli hapo kwa Magu kujenga JNHPP na SGR kilomita zaidi ya elfu moja, ilibidi mtu kama yeye mwenye mbegu nzito ya kidume kujenga. Viongozi wengine ni waoga tu, wanadanganya wananchi ili kupata kura tu ila hawana nia ya kujenga miradi mikubwa. Japo sikufurahishwa na jinsi Magu alivyoichukia Kenya, lazima nimpe hongera kwa udhubutu wake wa kuanzisha some of the biggest projects in East Africa.
Wacha upumbavu wewe, hapo hakukuwa na haja ya kuzungusha hiyo road ningekuwa na simu yng ile ningekuchorea hapo uone ujinga wako sema simu yng imeharibika, alafu kama kawaida yenu mkishindwa hoja mnakimbilia lugha ya waume zenu kama ndio kigezo cha ku win battle, misamiati ya std 1 umetumia hapo na hakuna point umeongea.Did you actually read what i typed?
ama kidogo english imekupea chenga..
Nimeeleza kwamba kulikuwa na haja kujengwa hivo kwa sababu hio overpass ni high kama ingeteremka chini straight vile unasema the ingekuwa steep sana hio mteremko na ni hatari considering kuna junction hapo mbele.
alafu acha kuongea mambo na cost my friend, you cannot compromise citizen’s lives cause of a couple hundred thousand bob.
alafu yani akili yako tu ikakuambia ni cheaper ama hata ni option kuchimba underpass chini ya reli
Fvkin hilarious
Muulize huyualafu nikuulize aje? si hata wewe ni mkunya ama huwa unajisaidia aje![]()







