toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
Ebwana kuna uwezekano moja ya haya maji yanapita kijijini kwetu. Picha lilianza hivi:
Primary nliyosoma choo chake hakijawahi kujaa na mvua ikinyesha kubwa hususani mlimani, choo kinafoka maji. Wakaja wazungu kupima ikaonekana kuna underground river chini ya choo na uwanja wa shule ambapo 2/3 ya uwanja chini yake umepita huo mto.
So, ikabidi tujengewe choo kingine na pia wakashauri kuutelekeza uwanja ingawa uwezekano wa kufumuka ni mdogo since mto upo chini sana


