Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo ilikua hela lakini now its almost done . Late Magufuli akithubutu kuanza kwa hela ya ndani . Waswahili wanasema mwanzo mgumu . Trust me mzee magu kabadirisha fikra za viongozi wengi kuanzia ndani ya nchi hadi nje ya nchi . Sasa hivi wengi tunaamini nothing impossible ni maamuzi tu . Apumzike kwa amani tu
Kweli kabisa kaka, kuna vitu tulikuwa tunaona haviwezekani kwasababu ya uchumi mdogo lkn jemedari akawaonesha viongozi kwamba hakuna lisilowezekana chini ya jua, na ndio unaona leo hii tunafanya miradi kama ya reli but kabla ya Magu hakuna kiongozi wa hapa Tz alithubutu kujenga japo 0.0006cm ya reli.

Unaweza kuona hata mabwawa ya umeme ni yeye ndiye alianzisha ukiacha hayo mabwawa yaliyojengwa awamu ya kwanza, leo hii viongozi wanaona kila kitu kinawezekana na unaweza kuona jinsi tunavyojenga mtandao wa reli nchini, zamani ilikuwa vitu vinawekwa kwenye ilani ili kupata kura lkn havitekelezwi, walikuwa wanatekeleza vitu ambavyo kila Rais lazima afanye mfano barabara, madaraja haya kawaida kawaida, hospitals lkn vitu vinavyohitaji maamuzi mazito walikuwa wanaogopa kabisa hata kuomba mkopo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Magu was the real deal.
 
Yes nimesikiliza tena kwa umakini hii haijabadilisha nilichokisema hapo juu awali,kwa sasa reli imeshajengwa mpk nguzo za umeme zipo ila magari yanapita juu ya reli ya SGR mpk hapo watakapojenga madaraja ya juu, tried to give current status!! April treni ya mkandarasi inakuja!Wasingefanya maamuzi haya kipande hiki kingezidi kudelay!!!!Kujenga madaraja hayo kutachukua muda mrefu hardly mwaka na zaidi!!!Fidia tu bado hazijalipwa!!!Na ukiangalia pale njia panda Segerea na Airport,nyumba zilizopewa namba kwa ajili ya kupisha mradi ni nyingi sana tu,kwa area size wanayotegemea kuchukua tutegemee mambo makubwa!Si kwa haraka unavyodhani.
nimekuelewa i thought umemaanisha design imebadilika kuwa level crossing as permanent! My bad!
 
Ndege kama hii haitui Kisumu local airstrip..



FK99-HaXEAIoRGm


CC: Teargas n komora096
 
KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT

The airport has a single runway, designated as Runway 09/27, which has a length of 3,600m and width of 45m. The runway is surfaced with tarmac and is capable of handling big commercial aircraft such as Boeing 747-400 series and Antonov 124.

This large scale development of KIA set to be completed in 2017 will double capacity from 600,000 passengers annually to 1.2 million

Kilimanjaro International Airport is one of the four international airports in Tanzania and is the second largest airport after Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam .

Contractor is BAM International from Netherlands .


6E950853-1EF9-4E1C-B63E-3BF4312AD224.jpeg


41561718-63A6-426E-B4D6-DD5892BA8519.jpeg


68B09A70-02BC-46F4-B029-F82DE50A6C4B.jpeg


32681105-B683-403A-8CC0-66F855DA29E6.jpeg


78D79235-43C3-4987-B3DD-0D8E16AEDAAB.jpeg


D04A6D56-8F82-4F6E-AC04-8A9FA82AF889.jpeg


F6421DD2-F03B-4791-8B7F-A0BD672E05A0.jpeg


2140CB77-A173-44D9-988F-A8E906223756.jpeg


2136CA54-BC1F-49A8-9F1A-E578AEDAAC8E.jpeg


8672CD03-4C96-455E-9FAC-00D726EBF32C.jpeg


51905D56-C817-44EA-AB98-B94D85F02F7C.jpeg


45A57D45-D37F-4B69-8CE5-C7E72553C86F.jpeg


D276E77F-0D0E-4851-9E80-901A4ABE01E7.jpeg


9EDB7EB0-9ECC-4D3A-BD59-7A2E1A83A8F4.jpeg


F2C7A51B-F720-4307-8FFB-6FC73DFB22EB.jpeg


1724E431-1C97-41B8-8ECD-E2FEB35C94F0.jpeg


278E29A8-2992-443C-8FB2-C2830A1EA026.jpeg


E0C98895-7CD3-4C9C-B3E7-B27751B45411.jpeg


C72DF284-5A50-4CDD-A4CF-1BAFF0F89066.jpeg


176E9716-77A3-4EE1-B506-84D834091FF4.jpeg


4EECD75B-280F-4A0E-BCCE-A285821B4332.jpeg


6C8AEF12-E1E5-45FB-85FC-F83011EC5EC8.jpeg
 
Back
Top Bottom