Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu msenge kaishiwa kabisa kabisa hata aibu haoni, from Monday to Sunday anapost mradi mmoja tu, ndipo walipofika wakunya, daahh mpk huruma aisee.
heeeee.... as if wee ni afadhali, kweli nyani haoni mkunduliilwalo... hivi hio daraja nayo.!?... kwanza wewe!
 
Hapa hebu niwape hongera nzito sana iliyokoleza heshima kabisa. Yaani hapa mumefanya kazi na nimekoshwa kuona maendeleo na mafanikio yanavyofanyika kwa speed ya juu hapa Afrika Mashariki. Ninafurahi kuwa mwana Afrika Mashariki. Region yetu inakuwa kwa kasi mno kwenye miundo mbinu. Yaani eti Sgr lot 2 ipo karibu kukamilika? Nimeshangaa sana. Ila najiuliza ni kwa nini Dar mpaka Moro haijakamilika? Tatizo liko wapi? Anayejua jibu anieleze.

leo imekua east africa sio tanzania 🤣🤣🤣
 
huyu anaongea nn alikwambia dar moro haijakamilika nani?? 😂😂😂😂
 
uehhehehhehhehe ona kzi wanaume hufanya
View attachment 2118775
ati anadai ile cattle dip pale Kisumu ni shipyard! 🤣🤣🤣🤣🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️

Atuonyeshe modern winches kama hizi pale Kisumu cattle dip! 👇
FG0LDGyXMAIvmO0
 
Back
Top Bottom