Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu is building its sixth interchange hawa bado ni mchoro tu........what a useless country. Ati capital city....lol
Show me 2 of them! I mean proper interchange na si some butthole kondole/kondele kisa ina size ya kupenya gari!
 
Tukijenga hizi flyover za tofali mnaziita ushamba, mkizijenga mnajipiga vifua. Ndio maana nasema haya matusi yenu ni wivu tu.
Dont change the post , my qz is when you compare the two which one is better looking, leave aside there functions
 
Usiwe zuzu unaweza kuta mpumbavu mmoja humu ndani kaandika ku-discredit TRC Mbarawa juzi kaeleza treni za umeme majaribio ya SGR za mkandarasi zinakuja Tar. 17! Subiri uone!
Are you insulting me over a hunch? real...hope you can do better than that, time will tell kati ya tui la nazi na maziw
 
Port ni nyingi Sana wala sio hizo tuu, nyingine inaitwa New Kipili port, serikali inatafuta pesa nayo kuiunganisha na barabara ya lami kutoka Sumbawanga/Namanyere mjini.

 
no need to prove ur point! it's like calling Kisumu airport, international while no single cross border flight lands there! The name should be Kisumu Local Airport!
The traffic at Kisumu is bigger than those of Arusha and Mwanza airports put together.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…