Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkunya miaka yote upo humu kumbe upo kwenye mission ya kuongea kama mtanzania? 🤔

Okay kwenye uandishi 70% najua kwenye accent hutoboi mpaka unaingia kaburini.
OYAA EWE BICHI KIDIMBWI SKIZA BAN EHH..WAKENYA NI WATU WENYE AKILI NYINGI SANA..TUNAWEZA TENA KWA URAHISI SANA KUIGA LUGHA ZOTE ZA EAST AFRICA BILA WASIWASI....NA SI ETI KENYA HATUJUI KISWAHILI...TUNAKIJUA TENA VIZURI SANA. NI VILE TU ILE TIME TUNAZUNGUMZA HUWA TUNAWEKA SHENG NA KUTUMIA ACCENT ZA KWETU ETC...BUT NIKI COME TZ NITABADILI LUGHA YANGU NA ACCENT TO THE POINT IT WILL BE SO DIFFICULT TO TELL THE DIFFERENCE. HALAFU KAKUDANGANYA NANI MIE NIKO TZ....NATAMANI NIJE SIKU MOJA KIMYA KIMYA...MAANA JINSI MLIVYO NA ROHO CHAFU...MKAJUA FAORO YUKO AREA...SI BASI MTANIITIA WALE MA KOMANDO WENU HUWA NAWAONA KWA TV PALE UHURU STADIUM WAKIFANYA UFALA FLANI HIVI😂.
 
Hapa umeacha Igawa - tunduma 217km dual carriage way
Kinachofanya serikali inasua sua kujenga hii barabara ni kwa vile kipande cha mbeya-Tunduma ni kizima ila tuu ni chembamba na wao waje wafanye rehabilitation yote so Wana vita vuta mda..

Kama ilivyo hiyo ya Arusha-Moshi-Horiri,ina barabara km 8 za pale Mjini Moshi ukiacha Highway,hiyo ya Mbeya pia ina package ya km 40 uyole Mbalizi bypass,ina km 16 iwambi Mbalizi bypass na ina lanes 6 pale Mjini Kati ya Uyole na Songwe airport kwa hiyo naona itachelewa kidogo.
 
Screenshot_20220208-085126.png

Now on writing I give you 0.5%
Where did you copy the last work? 🤔
 
Peleka upumbavu mbali, tulikuwa hovyo before Magu hiyo iko wazi now tunaona angalau viongozi wanawajibika ipasavyo baada ya kupata somo, kuna vitu ambavyo ni basic kila Rais lazima afanye lkn kuna vitu ambavyo ni exceptional co kila Rais anaweza kufanya.
That is your opinion.Usitake kila mtu afikiri na kutazama unavyoona wewe.Ndio maana Mimi huwa nawaona wale wanaosema JPM ni kama nyerere na kuwadharau Mwinyi,Mkapa na Kikwete ni wapumbavu kwa kua hawataki kufanya detailed analysis ya viongozi na nyakati zao,kila kiongozi amawezesha nchi kupiga hatua.Simple Mwinyi hakua na option nyingine zaidi ya kufungua uchumi the same wachina walifanya 1978 tofauti wao hawakutaka kuruhusu vitu vingine nje na uchumi walibaki na socialism kwenye tamaduni,dini,na siasa wakaingiza ubepari kwenye uchumi,Mkapa anaingia uchumi umefunguliwa lakini hatuna mtaji na wataalamu anaruhusu Western countries kuingia kama China walivyofanya sema wenzetu walituzidi kwenye kuchukua maarifa tax incentives zipo China Hadi leo kwenye technolojia mpya,Kikwete anaingia mikataba ya madini ipo inafanya kazi lakini anaikuta nchi haina miundo mbinu ya usafirishaji ya kutosha anahangaika huku na huko anasaidia kika kila mkoa unaunganishwa kwa njia ya lami,na ndio Rais aliyetoa ajira nyingi hasa kwenye utumishi wa Umma ndiye aliyekuuza uchumi zaidi na anaweka vision ya kua na SGR.JPM anaingia hahangaiki tena kuunda taasisi au kuunganisha mikoa kwa lami execpt mikoa michache kabisa anapata nafasi ya kujenga nyerere hydro power,Sgr nk ...hivyo kila mtu kafanya yake japo kila mtu anakasoro lakini hatuwezi kuwa wote wapumbavu na kubeza viongozi wetu huku tukijua ya mazuri mengi wamefanya.
 
Jifunze kanuni za uandishi, tafadhali.
 
Kinachofanya serikali inasua sua kujenga hii barabara ni kwa vile kipande cha mbeya-Tunduma ni kizima ila tuu ni chembamba na wao waje wafanye rehabilitation yote so Wana vita vuta mda..

Kama ilivyo hiyo ya Arusha-Moshi-Horiri,ina barabara km 8 za pale Mjini Moshi ukiacha Highway,hiyo ya Mbeya pia ina package ya km 40 uyole Mbalizi bypass,ina km 16 iwambi Mbalizi bypass na ina lanes 6 pale Mjini Kati ya Uyole na Songwe airport kwa hiyo naona itachelewa kidogo.

Pale Mafiat na Meta inabidi wa design interchange.
 
Back
Top Bottom