There is no much difference between one and zero😂😂 So FAW is the only vehicle being assembled in Tz?😂😂No hate Bwana mapesa uache dharau, Kama hujui sio kwamba na sisi hatufanyi vitu mnavyofanya, mi nilideal na dharau zako kuhusu ku import wakati unazungumzia Kitu amabacho na nyinyi mna Import.
View attachment 2101042
View attachment 2101043
View attachment 2101044
Yeah, Peugeot is also assembled in Kenya. Thanks for reminder.i thought peugeot too
Unaona kama ridhiwani kapewa unaibu, mda si mrefu atapewa uwaziri na salma vilevile, then watapewa watoto wengine wa mkwere na ndugu zake kina membe na vilaza wengine. Haya ndio mambo ya kurithishana nchi aliyokua anapambana nayo Magu na Nyerere. Wanataka TZ imilikiwe na ukoo wa mkwere kama ilivyo uhuru kenya. Basi angalau ingekua ni familia ya watu wenye uzalendo afadhali, ila chaajabu machifu wa huu ukoo wana historia ya kuuza watu wake utumwani tena ni direct descendant wa mkwere kama mnafahamu mkwere ametokea familia ya chief wao aliekua akiuza watu wake kwa waarabuYule mgagagigikoko bado anatafuta uchifu na kuvishwa ngozi na kupewa usinga[emoji1787][emoji1787]
More than 20 brands hataWe assemble more than 10 brands in Kenya.
Scania trucks and buses
Renault trucks
Isuzu trucks, buses, etc
Toyota
Mahindra
Proton Saga
Mercedes
Volkswagen
Hino trucks
Land cruiser
Banbros buses
Suzuki
Hilux pickup
Made in Kenya or Assembled in Kenya?
We jamaa hivi unajua kuwa mama anaharibu plan zilizoachwa na Magu? Mfano barabara ya Kibaha - chalinze ilitakiwa kua kama ya kimara - kibaha lakini now inaenda kuwa njia nne. Stand ya mwenge iliyokua mbioni kukamilika imekua gofu ili yule kigogo walielease eneo lake kujenga stand ya makumbusho enzi za mkwere aendeee kupata commission. Sielewi kwa nini waTanzania hamuoni jinsi watu wanavyogawana cake ya taifa unless muwe na nyinyi mnapata share zenuAcha upuuzi unaanzaje kitu kipya wakati hujamaliza kilichoanza.Serikali ni moja tu mbona tumlisifu JPM kwa kumalizia Terminal 3,Kigamboni bridge,BRT,Kuendeleza TAZAM highway,Kuundeleza taasisi ya Moyo ya kikwete,Japo aliua mradi wetu wa Mchuchuma na Liganga.
Kumbe nina zungumza na kitimoto [emoji200][emoji200]Matendo yanaongea kuliko kupayuka na Domo lako chafu [emoji116]
View attachment 2100953
View attachment 2100954
View attachment 2100955
View attachment 2100956
View attachment 2100982
Nimesha mpima nikamuona upuuzi wake wewe subiri muda ukifika wote turaongea lugha moja tzMimi ninamashaka na uwezo wako wa kufikiri mbona kwako lugha kistaarabu na kiungwana haipo kabisa.Huwezi kutoa hoja bila kuroka ovyo,watu wa Njombe hatuko hivyo bora unabdili na identity yako kabisa
Hawa Americans safari yao huishia Kenya tu, wengi hua hawafiki bongo. 😂😂🤣🤣 This one occasion isikupatie kiburi.
KAZI ZA KIZALENDO HIZI
Maneno yanaongea kuliko Domo lako chafu 👇Kumbe nina zungumza na kitimoto [emoji200][emoji200]
any tourvan u (warbus) u see in Kunyaland is being fabricated by Tanzanian company as already patented and underlicenced by Toyota! So now tell us between Hiace and tourvan which one is usually costing more? As Hiace in Tanzania and Kenya r most reconditioned!Any Toyota hiace you will see in Tanzania there is high probability that it was assembled in Kenya😂😂
Miaka 100 ijayo co 10 tu.Kunyaland itachukua miaka 20 kuwa na daraja kama la Tanzanite!
Kwani BRT yenu ina station mbili tu?[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2100762
I'm not sure about the number, but that's just one station.Kwani BRT yenu ina station mbili tu?
Proudly Made in Kenya 🇰🇪 by Kenyans.Made in Kenya or Assembled in Kenya?