THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Hawatasema kitu zaidi ya uchungu mwingi na mstuko!!!Nyie wakunya hapa si dubai muelewe Teargas na wenzako
Hawatasema kitu zaidi ya uchungu mwingi na mstuko!!!Nyie wakunya hapa si dubai muelewe Teargas na wenzako
Hakuna tourist anaejielewa ataingia Kenya bila kuja Tanzania lakini most tourists huwa wakianzia Tanzania wakitoka ni one-way home, huyu kaenda kunyaland kaona hamna chochote bila kuja Tanzania
Hatuitaji competition tunaitaji unafuu wa gharama za kusafiri kama gharama zitakua nafuu hamna tatizoactually the other way round competition is needed! angalia Tanesco inavyovurunda!
Je wakija Kenya huwa inasaidia kuondoa deficit ya GDP kubwa? 😆😆..Hawa Americans safari yao huishia Kenya tu, wengi hua hawafiki bongo. 😂😂🤣🤣 This one occasion isikupatie kiburi.
Utatufanya tuangalie number of Americans kati ya 1.4 mln tourists wa tanzania na tu-compare na wangapi kati ya hao 870,465! Ni aibu mna direct flights kwenda US halafu mnapata watalii chini ya a mln mark!Hawa Americans safari yao huishia Kenya tu, wengi hua hawafiki bongo. 😂😂🤣🤣 This one occasion isikupatie kiburi.
Au hata Tanga Port.Wanaangalia urahisi kwao,lakini goods destined for Tzn watatumia Dar port .
😂😂😂 Kwani ni uongo vibanda vya chips Tanzania havijaajiri millions of people na bado tunapata ziada ya viazi kuuzia majirani?My mother is the best cook in the whole world reasoning 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , yaani chips ya kupikwa kando ya barabara kama mahindi choma na ya vibanda zile ambazo tunaziita "chips mwitu" zimejaa kila kona ya nchi., unajua ni kwa nini wakenya walikashifu KFC kilaza? chunguzeni mambo kabla ya kukurupuka.., mnajiaibisha kila uchao., ona Global Hunger index report mlikimbia nayo bila ya kusoma., jinga type Tanganyikas, watu wa vioja na ushamba, hakuna comedians kama nyie 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Si ni wewe chongchung ulikurupuka tena na list ya top 20 richest people in the small Dar stock exchange bila kuchunguza top 20 in Nairobi stock exchange wako vipi na value yao, wamewaacha hao top 20 ya Dar by far 😂 😂 😂 ., yaani uko hovyo siku zote 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Those are vital signs ya economy on a downward curve.Je wakija Kenya huwa inasaidia kuondoa deficit ya GDP kubwa?..
Kenya ni mwendo wa maumivu tuu
View attachment 2098307
View attachment 2098308
Kenya ilipokea 1.2 million tourists in 2021. The US was our number one source for tourist arrivals in 2021, accounting for more than 10 percent of total arrivals. (136,981 tourist) Hebu tuambie bongo mlipata Americans wangapi ju unapenda ubishi sana.Utatufanya tuangalie number of Americans kati ya 1.4 mln tourists wa tanzania na tu-compare na wangapi kati ya hao 870,465! Ni aibu mna direct flights kwenda US halafu mnapata watalii chini ya a mln mark!
Sasa unabishana na Waziri wako?Kenya ilipokea 1.2 million tourists in 2021. The US was our number one source for tourist arrivals in 2021, accounting for more than 10 percent of total arrivals. (136,981 tourist) Hebu tuambie bongo mlipata Americans wangapi ju unapenda ubishi sana.
Unadhani deficit ya Tanzania haikuongezeka ama. 🤣🤣🤣Those are vital signs ya economy on a downward curve.
Hii hatari mzee alafu Hapo mbele ikipita brt ya awamu ya 6 patapendeza vibaya mno
Chips mwitu unamaanisha nini? Mihogo?Ninja anaongea story za chips mwitu. 🤣🤣🤣
Walipewa Rites ya India back then, wakaiua reli kabisa, JPM kaifufua kujenga SGR juu na mapato ya TRC yamekua maradufu, hii serikali ya kifisadi inayoongozwa na wendawazimu haitaki kuona hivyo.Haya mambo ya private sector kuingilia huu mradi tutaona nauli za ajabu ajabu
TrueNi low self esteem, hawataki kujikubali walivyo, ni wivu wa kitoto inasumbua wengi., anyway it's fun, I hardly take many here serious., Wako na blind patriotism.
Unaongelea Wamarekani wapi? Hawa ambao mpaka huko Buza wamejaa?Hawa Americans safari yao huishia Kenya tu, wengi hua hawafiki bongo. 😂😂🤣🤣 This one occasion isikupatie kiburi.