Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So in short you just confirming to us that rural roads in Tanzania are in deplorable state? Continue giving them those fuel-guezzlers waendelee kuchafua nazo vumbi vijijini as the poor rural folk choke in the resulting air pollution ocassioned by poor roads
State of poverty in all african countries is the same. Yes we have gravel roads and so are you and many more African countries
 
Eti Kenya kuna ukabila!
Kunyaland hakuna ukabila bali Tz ndio kuna ukabila, vp umefurahi

Ss subiri mtakavyouana mwaka huu ndio utajua ujui

Mwaka huu lazima maelfu yapotee huko Kenya subiri uone, we pesa alizoiba uhuru unadhani mtamwpacha, genocide loading.......
 
Hawatabinafsisha behewa zao hii inamaana reli ni ya serikali ila trc atakuwa na behewa zake na watu binafsi wataruhusiwa kuleta train zao na kulipia kutumia reli hiyo hivyo kuongeza ushindani kwa trc ambayo itasaidia kuboresha huduma kwa mteja
Kwani RITES ile ya India ilikuja na behewa? Si tuliipa kila kitu chetu
 
Part of mlimani complex Daressalaam

B38893BA-F928-453A-B23B-557449EBF2BE.jpeg


06ABFD3F-4E84-4B9E-85FD-FA23B84D0AEE.jpeg
 
AL-SHABAAB YATISHIA KUISHAMBULIA KENY

Al-Shabaab imetishia katika video mpya kwa kusema "wataianza safari" na kuongeza mashambulizi yake nchini Kenya ili kulipiza kisasi uwepo wa jeshi la nchi hiyo nchini Somalia, ambako kundi hilo lina makao yake.

Kitengo cha habari cha al-Shabaab kimesema kwenye video hiyo iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ya Rocket Chat na Telegram,

"Tunatuma salamu kwa Kenya, nchi ya makafiri. Tumefunga safari ambayo haina kurudi nyuma. Kwa makafiri, hizi ni nyakati za mwisho".

Chombo cha habari kinachohusishwa na kundi hilo kimedai hivi majuzi kwamba wanamgambo hao walizidisha mashambulizi yao nchini Kenya katika wiki za hivi karibuni kuelekea mwaka mpya.

Tangu Januari 3 mwaka huu, takriban watu 13 wameuawa katika mashambulizi yanayoshukiwa kutendwa na al-Shabab katika mikoa ya pwani ya Kenya iliyo jirani na Somalia. Al-Shabaab imekuwa ikifanya mashambulizi nchini Kenya tangu mwaka 2011, wakati wanajeshi wa nchi hiyo walipovuka mpaka na kuingia Somalia kupambana na kundi hilo la kigaidi.

Ijumaa iliyopita, maafisa wanne wa polisi walishambuliwa na kuuawa katika eneo la pwani ya Kenya linalopakana na Somalia ambalo huwa rahisi kuvamiwa na wanamgambo wa Al-Shabaab.


Shambulizi hilo lilitokea katika Kaunti ya Lamu, ambapo serikali ilituma vikosi vya usalama na kutangaza amri ya kutotoka nje kuanzia jioni hadi alfajiri baada ya mauaji ya raia saba katika msururu wa uvamizi.

Mapema wiki iliyopita polisi nchini Kenya walishuku kuwa wapiganaji wa Al-Shabaab walihusika na mauaji ya raia saba huko Lamu.

Mtu mmoja alikatwa kichwa na wengine kupigwa risasi au kuchomwa moto hadi kufa katika mashambulio mawili ya Jumapili na Jumatatu. Lakini polisi baadaye walisema ghasia hizo zilihusishwa na mzozo wa ardhi katika eneo hilo.

Wizara ya mambo ya ndani ya Kenya ilitangaza Jumatano iliyopita kuwa baadhi ya sehemu za kaunti ya Lamu ni "maeneo yenye misukosuko" na kusema timuya usalama itakayowajumuisha mawakala mbalimbali itafanya msako wa kutafuta silaha katika eneo hilo.

Screenshot_20220129-133751.jpg
 
TAHADHARI YATOLEWA KUHUSU TISHIO LA SHAMBULIZI LA KIGAIDI KENYA

Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa iliwatahadharisha raia wake kuepuka maeneo ya umma na maeneo yenye msongamano wa watu ambazo ndizo sehemu zinazolengwa kwa mashambulizi.

• Maeneo hayo ni hoteli, mikahawa, maeneo ya burudani na vituo vya kibiashara jijini.

• Ubalozi wa Ujerumani pia ulitoa onyo.

• Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa iliwatahadharisha raia wake kuepuka maeneo ya umma na maeneo yenye msongamano wa watu ambazo ndizo sehemu zinazolengwa kwa mashambulizi.

• Maeneo hayo ni hoteli, mikahawa, maeneo ya burudani na vituo vya kibiashara jijini.

• Ubalozi wa Ujerumani pia ulitoa onyo.

Mafisa wa polisi wakishika doria katika eneo la Lamu
Vitengo vya usalama vimeimarisha operesheni ili kusambaratisha mipango yoyote ya ugaidi nchini Kenya.

Polisi hata hivyo wamewataka wananchi kuendelea kuwa waangalifu na kuonya kuwa kutakuwa na oparesheni za kiusalama ambazo huenda zitaathiri shughuli za kawaida katika baadhi ya maeneo ikiwa ni pamoja na barabara kuu na majengo.

Hii ni baada ya serikali ya Ufaransa kutoa tahadhari kwa raia wake nchini Kenya kuhusu uwezekano wa shambulizi la kigaidi jijini Nairobi na ambalo linalenga maeneo yanayotembelewa na wageni.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa iliwatahadharisha raia wake pamoja na wahamiaji kutoka nchi nyingine za Magharibi kuepuka maeneo ya umma na maeneo yenye msongamano wa watu ambazo ndizo sehemu zinazolengwa kwa mashambulizi.


Maeneo hayo ni hoteli, mikahawa, maeneo ya burudani na vituo vya kibiashara jijini.

Ilitoa wito kwa wageni wanaoishi na kufanya kazi jijini Nairobi kuwa waangalifu sana katika siku zijazo, haswa wikendi hii.


Ubalozi wa Ujerumani pia ulitoa onyo kwamba katika siku chache zijazo raia wake nchini Kenya wanapaswa kuwa makini zaidi wanapokuwa katika maeneo ya umma.

Ubalozi huo umetaka raia wake kufuata kanuni na miongozo ya kiusalama.


My Take

Hii nchi sio ya kutembelea kabisa.
 
KENYA YAORODHESHWA YA 30 KATI YA MATAIFA 116 YANAYOKABILIWA NA BAA LA NJAA DUNIANI

Kenya imeorodheshwa katika nafasi ya 30 barani afrika kati ya mataifa 116 ambayo yanakabiliwa na baa la njaa katika ripoti ya Global Hunger Index ya 2021.

Ripoti hiyo inaiweka Kenya katika nafasi ya 87 kati ya nchi 116 ambazo zilizingatiwa duniani kote.

Asilimia 23 ya Wakenya hulala njaa kila siku , kulingana na ripoti hiyo, huku zaidi ya watoto 650,000 walio chini ya miaka mitano wanahitaji matibabu ya utapia mlo.

Nataka kuwekeza nguvu zangu zote kuwatumikia wakaazi wa Lunga Lunga, asema waziri Mangale Chiforomodo

Miongoni mwa sababu zilizochangia idadi kubwa ya watu ambao hawawezi kupata milo inaofaa ni pamoja na janga la COVID-19, mabadiliko ya hali ya hewa na migogoro ulimwenguni.

Wengi ya wakenya tulioongea nao wamekubaliana na ripoti wakisema ukosefu wa ajira na hali ngumu ya uchumi imechangia pakubwa kwa hali ya njaa nchini.


My Take
Hawa watu ni wapumbavu sn, karne ya 21 bado wanapambana na njaa.
Screenshot_20220129-134947.jpg
 
KENYA YAORODHESHWA YA 30 KATI YA MATAIFA 116 YANAYOKABILIWA NA BAA LA NJAA DUNIANI

Kenya imeorodheshwa katika nafasi ya 30 barani afrika kati ya mataifa 116 ambayo yanakabiliwa na baa la njaa katika ripoti ya Global Hunger Index ya 2021.

Ripoti hiyo inaiweka Kenya katika nafasi ya 87 kati ya nchi 116 ambazo zilizingatiwa duniani kote.

Asilimia 23 ya Wakenya hulala njaa kila siku , kulingana na ripoti hiyo, huku zaidi ya watoto 650,000 walio chini ya miaka mitano wanahitaji matibabu ya utapia mlo.

Nataka kuwekeza nguvu zangu zote kuwatumikia wakaazi wa Lunga Lunga, asema waziri Mangale Chiforomodo

Miongoni mwa sababu zilizochangia idadi kubwa ya watu ambao hawawezi kupata milo inaofaa ni pamoja na janga la COVID-19, mabadiliko ya hali ya hewa na migogoro ulimwenguni.

Wengi ya wakenya tulioongea nao wamekubaliana na ripoti wakisema ukosefu wa ajira na hali ngumu ya uchumi imechangia pakubwa kwa hali ya njaa nchini.


My Take
Hawa watu ni wapumbavu sn, karne ya 21 bado wanapambana na njaa.View attachment 2099525

Where we are

IMG_20220129_135641.jpg


Where you are 😂😂😂😂😂😂

chrome_screenshot_1643454468398.png

Uko na ukondoo sana wewe 😂😂😂😂. Your poverty stricken country is suffering from hunger and malnutrition worse than Kenya na uko hapa ukipayuka nonsense

IMG_20220129_135609.jpg
 
Aawapii Wasukuma walikuwa juu ya wengine angalia nominations! Huwezi tambua kwavile inawezekana nawe ni ngosha! Wee acha bwana kuna watu wamenyanyaswa kinoma kisa itikadi! Huo utakatifu unajaribu kumpa mwendazake hakuwa nao! Funika kombe mwanaharamu apite!
Mkuu katika hili unamuonea Magufuli, hakuwa mkabila hata kidogo, katika Baraza lake la mawaziri wasukuma hawajazidi watatu, makatibu wakuu sio zaidi ya 5. Sijui unaposema alikua mkabila unamaanisha nini.
 
Watanzania wamekuwa wakipiga sana kelele kuhusu greenery ya Nairobi na kuiita msitu. Hii Kelele yote ni kwa sababu jiji lao halina green spaces kwa sababu ya kutekwa nyara na uswazi kila kona.

What these people don't realize is that behind hizo "misitu" kuna majumba za kifahari you won't find anywhere in Dar.

Bongalalas, next time you see those tall green trees covering most parts of Nairobi, don't get intimidated, these are the type of houses found below that green cover you see and which stupidly intimidates you View attachment 2099309View attachment 2099313View attachment 2099315View attachment 2099319View attachment 2099320View attachment 2099329View attachment 2099394View attachment 2099395View attachment 2099413View attachment 2099414View attachment 2099415View attachment 2099416
Nyumba kama hizo na ukijani upo sana tu na zaidi Kigamboni apartment za watumishi,NSSF na Avic town.
 
Back
Top Bottom