The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,537
Alichokiongea hapo umekielewa? Au unapinga tu ukamilishe tabia yako ya kupinga kila kitu.Haupendi ukweli, unataka muonekane mnaishi binguni, pole bro, vumilia wacha kujitetea sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Alichokiongea hapo umekielewa? Au unapinga tu ukamilishe tabia yako ya kupinga kila kitu.Haupendi ukweli, unataka muonekane mnaishi binguni, pole bro, vumilia wacha kujitetea sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kenya Kuna media freedom?, Hivi Kati ya Kenya na Tanzania ipi ipo na demokrasia zaidi kwa mujibu wa viwango vya dunia?, Sasa Kama Tanzania imeizidi Kenya katika demokrasia vipi Kenya iwe na media freedom kuizidi Tanzania?Kwa hiyo lengo lako ni kushindana na kenya kwenye crime? Kwamba safety Tanzania ni bora zaidi? Shame on you. Uzuri Kenya kuna media freedom Ndio Maana unadhani kwao crime reports are a daily thing. lakini huku kwetu ambapo media zimebanwa kuna wakati miili ilikuwa inapatikana kwenye fukwe na hakuna habari yoyote kwenye hii nchi iliyotoa hizi reports.
Uhalifu unazidi kuongezeka kila kukicha, and god knows how many more crimes go unreported. Domestic violence Ndio inayokua Kwa kasi zaidi nchini. Wapenzi wanauana, watoto wanaua wazazi nk.
Kitu cha muhimu ni kujiuliza ni jinsi gani hizi crimes zinaweza kupunguzwa. Na pia jeshi la polisi linafanyaje kuhakikisha raia na mali zao zinalindwa.
Hebu tulia na ujiulize kwanza. You’re all over the place. Mara list ya democracy, Mara list ya amani huku mimi ninaongelea media freedom!Kenya Kuna media freedom?, Hivi Kati ya Kenya na Tanzania ipi ipo na demokrasia zaidi kwa mujibu wa viwango vya dunia?, Sasa Kama Tanzania imeizidi Kenya katika demokrasia vipi Kenya iwe na media freedom kuizidi Tanzania?
Hao wakenya ndio wanaolinganisha crime rate ya TZ na Kenya ndio sababu tunalinganisha, Sasa wewe unayejaribu kutumia" isolated cases" kuonyesha kwamba Tanzania Kuna tatizo kubwa lakini hakuna media zinazotanga ila Kenya media ndio zinatangaza, unapaswa ujiulize, Je hao wanatoiweka Tanzania kuwa namba 58 na Kenya 116 duniani katika Amani nao pia wanatumia kufikiria Kama wewe?
Nimetaja baadhi ya adhabu na nimesema na nyinginezo kulingana na mazingira ya utendaji kazi, Sasa wewe unechagua hiyo Moja pekee. Mkuu wacha hizo kaka, japo ni haki ya kila mtanzania kusafiri na kwenda popote anapotaka, lakini ni kichaa pekee anayeweza kusafiri toka Dar hadi Mwanza bila sababu za msingi eti sababu kubwa anatimiza haki yake ya kikatiba ya "freedom of movement"Lawama nitatoa kokote ninapopenda. Si wewe wala mtu yeyote Yule wa kunizuia kwasababu freedom of speech ninayo. Utendaji wa kazi utafanyika vizuri tu pale detectives wenye weledi na wanaojulikana kufanya kazi vizuri wakiwa-assigned hii kesi! Sio kupewa deadline! Deadline inasaidia nini kama hata suspects watakaokamatwa hawahusiki na uhalifu uliotokea? Ukiwapeleka mahakamani and they end up walking free unarudi square one na unaonekana mjinga.
Na unasema kuwa adhabu ya wapelelezi wasipopata hawa suspects within the given time frame ni kushushwa cheo? Hivi kweli unafikiria kitu unachokiandika?
I know the principle behind his reasoning., I don't observe the conduct as such, I deduce the underlying principle behind the conduct bro, am reacting to the principle at play, what u ain't seeing.., nawajua vizuri sana.,Alichokiongea hapo umekielewa? Au unapinga tu ukamilishe tabia yako ya kupinga kila kitu.
Katiba ya Tanzania inatoa absolute freedom of speech, sio partial. Kwa hiyo nita-exercise haki yangu vyovyote niwezavyo. If you can’t handle that then piss off.Nimetaja baadhi ya adhabu na nimesema na nyinginezo kulingana na mazingira ya utendaji kazi, Sasa wewe unechagua hiyo Moja pekee. Mkuu wacha hizo kaka, japo ni haki ya kila mtanzania kusafiri na kwenda popote anapotaka, lakini ni kichaa pekee anayeweza kusafiri toka Dar hadi Mwanza bila sababu za msingi eti sababu kubwa anatimiza haki yake ya kikatiba ya "freedom of movement"
WAAA ati 52 WOOOI SURELY THESE PEOPLE....NA MDOMO YOTE HII NI YA NINI...WHAAT?their gdp is 52 billion plus zanzibar 10 billion....making it 62billion
sr. richard branson was an author in the Daily Nation newspaper. infact he had his own column in the newspaper, on how to become a successful entrepreneurSir Richard Branson has a hotel in Kenya and he is a frequent visitor here… Next?
View attachment 2096663View attachment 2096664
kama bila burundi yaani huyu dada asingejulikana kabisa
Kama sio Kenya, huyu dada asingejulikana![]()




let me educate you jiwe la moto. inaitwa Tanga(coastline), Nyika(interior savanna) and Zanzibar (a semi autonomous citystate). the three form one state of 61m pple with 121 sub tribesKenya Kuna media freedom?, Hivi Kati ya Kenya na Tanzania ipi ipo na demokrasia zaidi kwa mujibu wa viwango vya dunia?, Sasa Kama Tanzania imeizidi Kenya katika demokrasia vipi Kenya iwe na media freedom kuizidi Tanzania?
Hao wakenya ndio wanaolinganisha crime rate ya TZ na Kenya ndio sababu tunalinganisha, Sasa wewe unayejaribu kutumia" isolated cases" kuonyesha kwamba Tanzania Kuna tatizo kubwa lakini hakuna media zinazotanga ila Kenya media ndio zinatangaza, unapaswa ujiulize, Je hao wanatoiweka Tanzania kuwa namba 58 na Kenya 116 duniani katika Amani nao pia wanatumia kufikiria Kama wewe?
sasa ww hutaki aje tanzania au 🤣🤣🤣Kizungu ngumu. Elimu ya Saint Kayumba in action.
A Virgin branded balloon flew over Kilimanjaro. Richard Branson was NOT on it. One David Bareford was on it.
'Branding Tanzania' is acting desperate.
Richard Branson akija East Africa, the only place you'll find him is at his multi-million dollar Mahali Mzuri Camp in the Masai Mara.
View attachment 2096742
endelea hvo hvo kuumia na kuungua rohoni ila jamaa kaja nchini na anakula bata na kaacha pesa ya watalii zaidi ya 500 waliokaa masai mara kwa wiki mbili hata kama utakadirika haitadaidia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣na mi nimegundua either ni masomo basic haijakukubali (which clearly explains your average tanzanian poor education) ama wewe ni kichaa wa kujitakia.
i think its the first one
Shida yako ni kuvuta bangi na kua mdanganyika mjinga hadi huoni uhalisia.ndiyo maana tunawaambia hiyo GDP yenu ni ya kwenye makaratasi! haionyeshi uhalisia wa maisha ya wakunyaland. kenya ni shamba la bibi watu wanachota wanahamisha. hahahahha
But have better standard of living, including better Hospitals than those with theoretical GDP.