xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
madirisha ni anasa 😂😂😂
madirisha ni anasa 😂😂😂
Madirisha Kenya hayana umuhimu, apartments zao za kajambanani zote hazina madirishamadirisha ni anasa![]()







jamaniii 🤮🤮Madirisha Kenya hayana umuhimu, apartments zao za kajambanani zote hazina madirisha![]()
Yaani hakuna watu wanaipenda Tanzania kama Wakunya, mtu anataka vacation kwenda Mwanza kula bata ila utawasikia hizi fukara humu namna zinatema sumu 😅😅
Tanzania is your Dubai and you can't change it
Zipo nyingi tu pale, ile mall ni kati ya malls kubwa ukanda huu.Hii video nimeiangalia kumbe kuna supermarkets kubwa humo ndani Rock City Mall, ni pazur sana
Nimewahi kuingia pale mara nyingi tu but mostly nilikua Nikiingia na wana the cask bar kupoa weekend na labda kufuata huduma za kibenki, ni pazur sana aseeZipo nyingi tu pale, ile mall ni kati ya malls kubwa ukanda huu.
imagine kaacha pesa ngap hapa 😃😃
So? Bill Gates has a private Island and UAE royals have lodges too! Branson wants to buy a private island too!Sir Richard Branson has a hotel in Kenya and he is a frequent visitor here… Next?
View attachment 2096663View attachment 2096664
ila kaja kutalii tanzania na kuleta mapesa kibao 😂😂😂 pesa alizoacha tanzania ni sawa na watalii 500 waliokuja kenya wakakaa hapo wiki mbiliSir Richard Branson has a hotel in Kenya and he is a frequent visitor here… Next?
View attachment 2096663View attachment 2096664
Acha uongo. Rock City mall is not even among the top ten biggest malls in East AfricaZipo nyingi tu pale, ile mall ni kati ya malls kubwa ukanda huu.
Kila siku tunaambiwa hapa vile watanzania hawawezi ishii kwenye apartments hadi wakazibandika majina kama vile kota, dormitories, boxes nk just because jiji lao halina apartments za kutosha na badala yake wakajaza uswazi kila mahali. If they get the chance to post the few apartments they have, utaona vile zinashabikiwa. Vilaza wa mwishoSijui vile viwanja na majumba yao yameenda wapi tena mpka wauziwe units tena kw bei "nafuu" km zinavyopigia debe kwenye advert![]()
So? Bill Gates has a private Island and UAE royals have lodges too! Branson wants to buy a private island too!
Good evening Mr The best 007, I have assessed your condition and I have concluded that you are suffering from a disease known as Alzheimer's disease. I have therefore decided to prescribe this wonderful drug to you, it`s known as Zengbraino.Ni aibu Tz kushindana na Kenya, tumalize hii miradi tuachane na hii battle twende tukalianzishe na wanaojitambua co hawa failed people.
alafu sijui shida ni kutoelewa lugha ama??ila kaja kutalii tanzania na kuleta mapesa kibao 😂😂😂 pesa alizoacha tanzania ni sawa na watalii 500 waliokuja kenya wakakaa hapo wiki mbili