Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunya bado wapo kwenye C wakati Tanzania ipo E halafu watasema wana gari nyingi 🤣

Watanzania wanasafiri kwa luxury like normal wakati wao wanabanana kwenye vipanya kwenda mikoani 🤣

Bado unauliza pesa ya kusafiri na bullet trains tutatoa wapi? KANAIRO

 
FB_IMG_16428385062437582.jpeg
FJsKHUjXsAIkaXs.jpeg
 
roho inakuuma sana sisi kujenga electrified SGR..
unataman hata ujinyonge

giphy.gif


pole sana.. nenda kapande garimoshi yenu ujifariji kidogo
sio kihivyo babaa...wajua ni kama uwe na jirani masikini...halafu kipato chake kidogo anakwenda nunua bonge la range rover sports...hivi ndivyo mnaokena na miradi yenu...mradi tu mshindane na kenya ..wakati sisi GDP yetu ni mara mbili ya yenu...hivi unajua GDP ya kenya ni kubwa kuliko ya tz na ug... linganisha hivi;
population ya tz and ug combined is 104 million people.
and their combined GDP is 101 billion $
Kenya population is 53 million
Kenya GDP is 104 Billion $ ....

Sasa niulize.......tanzania na ka GDP ka 69 billion $ mbona mshinde mkujisumbua na miradi zaidi ya kipato chenu....huku mkiogopa mikopo, mara manaogopa barakoa, mara mnaogopa chanjo....hamuoni ni kaamabae mnajitia katika hali tatanishi....majuto ni mjukuu.. otherwise sisi kama wakenya tunketi pembeni twajionea tu.
 
hvi kati ya sisi na nyinyi nani yuko karibu na congo zaidi???😂😂 unajua kuna maswali majibu yake yapo wazi tu sisi congo tumepakana kabisa nyinyi mpaka misubiri uganda na burundi wakubali
wewe unakurupuka tu holela, pasipo mtu kuuliza swali lolote.!?.... nimecheka 😆yangu yote
 
Izo ni wishes za kijinga,from tz hamuez kujenga sgr to hamuwez kununua electric trains to hamuwez kununua ticket inaonyesha mmeshapoteana...na nani kakwambia watz hawawez kulipa?
Wa tz nani hawajui.... mawazo yenu huwa yako nyuma saaana... Yaani nikiona viongozi wenu wa tabaka mbali mbali wakisema..corona haipo mara barakoa hazina maana, mara chanjo zitawadhuru.. mara mikopo sijui...mpaka najiuliza yaani nyinyi kama nchi huwa mnafikiria kiaje yaani...nani atawatoa kwa utumwa huu wa fikra za uoga
 
4th world country obsessed with electric train......meanwhile our 130km per hour rail will also be mainly used for cargo......
target is clearing 5 million containers by end of year.While you brag of the unfinished imaginary electric crap we are increasing our trade volumes.......Will have our GDP at 160 by year end while you still linger below 70......the dar port only clears 420k containers a year.......Tanzania is a classical example of putting the cart before the horse
ni wazi, tanganyika inaonekana kujenga miradi mikubwa sana, tena ya kimataifa, kama vile sgr, ili ionekane maarufu, ili ipate chakutishia nchi za africa, sana sana kenya.. na ilhali uchumi wao ni uleule mdogo haiwezi ikasitiri hayo yote kwa mmda mrefu sana. punda atachoka soon in less than 5yrs from now, mark my word..
sisi tunajenga miradi zetu kwa ustaraabu pasipo kujikaza.. tunajenga miradi inayo endana na uchumi wetu. hatuoni machungu kwa ujenzi wa miradi kama nyinyi..

huwaga inasemwa.. "kill what you can eat"
 
Ngoja wakeweke huo upuuzi mwingi Zanzibar afu muanze maujinga yenu ya

Kumbe geza uko na akiliserikali iache usengeee wa kutumia mifumo ya watu wengine kama upumbavuu tulio ufanya tanesco ya makamba kwa kuingia mkataba wa $30mil kwa ajili ya mfumo unao endeshwa na mabeberu very stupid ,mifumo yote ya namna hiyo inatakiwa kumilikiwa na serikali kwa 100%
Kwa upelelezi nilio fanya 68% ya mapato ya brt yanaibiwa kutokana na mifumo hiyo ya kifisadi
Usije kushangaa tukamaliza kujenga sgr na behewa tukanunua kisha tukaajiri kampuni ya kuendesha mradi
 
sio kihivyo babaa...wajua ni kama uwe na jirani masikini...halafu kipato chake kidogo anakwenda nunua bonge la range rover sports...hivi ndivyo mnaokena na miradi yenu...mradi tu mshindane na kenya ..wakati sisi GDP yetu ni mara mbili ya yenu...hivi unajua GDP ya kenya ni kubwa kuliko ya tz na ug... linganisha hivi;
population ya tz and ug combined is 104 million people.
and their combined GDP is 101 billion $
Kenya population is 53 million
Kenya GDP is 104 Billion $ ....

Sasa niulize.......tanzania na ka GDP ka 69 billion $ mbona mshinde mkujisumbua na miradi zaidi ya kipato chenu....huku mkiogopa mikopo, mara manaogopa barakoa, mara mnaogopa chanjo....hamuoni ni kaamabae mnajitia katika hali tatanishi....majuto ni mjukuu.. otherwise sisi kama wakenya tunketi pembeni twajionea tu.
their gdp is 52 billion plus zanzibar 10 billion....making it 62billion
 
Wanakuja hapa eti electric is just for powering engines, that’s a hell of a consolation phrase ..
yaani at the moment the whole world is moving to electric automobiles just to save the environment wapumbavu wengine kama Kunyaland wanaturudisha nyuma kwa kununuliwa magarimoshi ya miaka ya 1880s,,
Halafu bila aibu Wanataka kufananisha magari moshi yao na trains za kisasa,

Labda tuweke kumbukumbu Sawa,
Hiki ndicho Wiliam LootAll aliwaahidi back in 2013,
View attachment 2091254
And this is what China gave to you, with zero penny from the poor broke Kunyan Government
View attachment 2091255

And indeed the below locomotive design is the equivalent to what Kunya received from China , 1880s design..
Same design but repainted with The colors of Kunyaland flag
View attachment 2091264
Thanks for posting the cargo one......the passenger one is this one
Kenya-sgr-train-schedule-travel.jpg
 
and we r feeding a hunger stricken $200 bln GDP Kunyaland!
rather scrambling for our sweet money to feed your desperate farmers sort of........lol.Mexico transports millions of tonnes of food to the USA but who gets desperate if one stops selling.......while sellers are all over the world bitch
 
their gdp is 52 billion plus zanzibar 10 billion....making it 62billion
(tanzania - zanzibar ) = tanganyika.....
imagin ji nchi jizima kama hichi kutengeneza tu $52b! huku wakidai eti wana madina yote duniani, eti wana rotuba zaidi na wana zalisha chakula kingi zaidi africa, wana mapori na misitu zaidi.. ole wangu
Screenshot_20220122-121334_Earth.jpg
 
MY WORRY FOR THEM IS WHEN WILL IT START ITS OPERATIONS????????
watajua ngoma ni lele wakati watashindwa kulipa uturuki deni.......tanzanians stand on buses for a 500 km journey to avoid paying even 500 bob
 
Back
Top Bottom