Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MY FRIEND...DO YOU KNOW HOW MUCH IS 40 BILLION DIFFERENCE????
WE ARE WAY MUCH BETTER...ASK BABA LEVO...HE WAS SHOCKED WHEN HE CAME TO KENYA....NA YEYE HUWA MBISHI SANA...LAKINI ALIPO KUJA HUKU ...ALIKUBALI MWENYEWE.....
Way much better in what 😅😅 mm sioni mlichotuzidi zaidi ya njaa tuu huko, angalia nchi kama Morocco imetuzidi na 40B $ na tofauti yetu na wao inaonekana na ni kubwa sana in terms of infrastructure, health services na sekta zingine ila sasa nyinyi mnasema mko vizuri kushinda sisi wakati nyinyi Ndio mnaongoza kwa njaa, kwenye miundombinu tumewazidi kwenye ubora wa huduma za kiafya uko Ndio tusiguse kabisa na sekta zingine kibao tumewazidi sasa nyinyi hamuoni aibu na gdp yenu ya makaratasi iyo😂
 
Kuna report niliona mwaka Jana mwishoni, Hawa SS tunawauzia sana ila sisi hatununui kitu kwao.

SOUTH SUDAN
Export: $3.4M
Import: $0

Kuna nchi nyingine hapa EA inaenda kuwa kama SS.
$3.4 mln mbona ndogo sana ukilinganisha na potential za South Sudan, chakula pekee tunaweza kuuza mpaka $200 mln and above!
 
Way much better in what 😅😅 mm sioni mlichotuzidi zaidi ya njaa tuu huko, angalia nchi kama Morocco imetuzidi na 40B $ na tofauti yetu na wao inaonekana na ni kubwa sana in terms of infrastructure, health services na sekta zingine ila sasa nyinyi mnasema mko vizuri kushinda sisi wakati nyinyi Ndio mnaongoza kwa njaa, kwenye miundombinu tumewazidi kwenye ubora wa huduma za kiafya uko Ndio tusiguse kabisa na sekta zingine kibao tumewazidi sasa nyinyi hamuoni aibu na gdp yenu ya makaratasi iyo😂
unajua kila nchi huwa na changa moto zake...etc...ninachosoma hapa ni because of tanzanias negative attitude towards kenya..huwa serikali na media zenu hazitangazi maendeleo ya kenya ila mambo kama njaa etc...just the way western countries like to potray africa...but kwa kiukweli ingekuwa tz media inaonyesha na kutangaza kiukweli maendeleo ya kenya...hapo ungejua sisi ni kina nani....wakati Rais Suluhu alizuru kenya alishangazwa saana na maendeleo aliyojionea...akashinda akisifu uzuri wetu kila alipoanza hotuba zake...tafuta hotuba zake you tube ujioneee... naye baba levo alipokuwa huku juzi alishangazwa sana na maendeleo ya kenya...mimi namjua baba levo alivyo mbishi and very outspoken..yule sio mtu wa kusema eti amfurahishe mtu...lakini alipigwa na butwaaa. Na bila aibu au haya ikambidi akiri ukweli mbele ya redio staion akisikika TZ yote....unadhani kenya ni mchezo ili imshangaze baba levo kiwango hicho??
Wewe hapo huenda hujakuja kenya bado, Na media zenu zina waonyesha mambo negative pekee kuhusu kenya...ndio maana mna nguvu ya kubishana saana bila proof yoyote...Utakapo kuja kenya..hata hiyo moroco unayoitaja hapa utaiona iko chini....
YAANI IMEFIKA KIWANGO NIWAKARIBISHE HUKU KWA BILL YANGU NIWATEMBEZE HUKU KIASI...HALAFU SIWADANGANYI .....HATUTAWAHI JADILIANA TENA KUHUSU MAENDELEO YA EAST AFRICA.....KWA SABABU MTAKIMYA MILELE.....

BABA LEVO KWA MANENO YAKE MWENYEWE...

" MIMI NI MBISHI SANA..LAKINI NAIROBI JAMANI WAMETUZIDI MBALI SANA...YAANI KUIFIKIA...KUIFIKIA ...KUIFIKA LEVEL YA NAIROBI , KWA BONGO, HII DAR ESAALAMA , KUIFIKIA LEVEL YA NAIROBI , TUNAHITAJI MIAKA ISHIRINI NA TANO MBELEE................."
 
Kenya Kuna media freedom?, Hivi Kati ya Kenya na Tanzania ipi ipo na demokrasia zaidi kwa mujibu wa viwango vya dunia?, Sasa Kama Tanzania imeizidi Kenya katika demokrasia vipi Kenya iwe na media freedom kuizidi Tanzania?

Hao wakenya ndio wanaolinganisha crime rate ya TZ na Kenya ndio sababu tunalinganisha, Sasa wewe unayejaribu kutumia" isolated cases" kuonyesha kwamba Tanzania Kuna tatizo kubwa lakini hakuna media zinazotanga ila Kenya media ndio zinatangaza, unapaswa ujiulize, Je hao wanatoiweka Tanzania kuwa namba 58 na Kenya 116 duniani katika Amani nao pia wanatumia kufikiria Kama wewe?
Hehehehe hapa umemaliza mkuu nasubiri bitter reaction ya kuponda nchi, nitaiponda sn mana nyie watz c hamkubaliani na mawazo yangu
 
Nimetaja baadhi ya adhabu na nimesema na nyinginezo kulingana na mazingira ya utendaji kazi, Sasa wewe unechagua hiyo Moja pekee. Mkuu wacha hizo kaka, japo ni haki ya kila mtanzania kusafiri na kwenda popote anapotaka, lakini ni kichaa pekee anayeweza kusafiri toka Dar hadi Mwanza bila sababu za msingi eti sababu kubwa anatimiza haki yake ya kikatiba ya "freedom of movement"
 
I know the principle behind his reasoning., I don't observe the conduct as such, I deduce the underlying principle behind the conduct bro, am reacting to the principle at play, what u ain't seeing.., nawajua vizuri sana.,
Nje ya hii broken uliyoongea hapa hakuna point umeweka, hebu jibu swali wacha kurukaruka na hizi lugha za watu, have u understood what he tried to mean?
 
Katiba ya Tanzania inatoa absolute freedom of speech, sio partial. Kwa hiyo nita-exercise haki yangu vyovyote niwezavyo. If you can’t handle that then piss off.
Yeah katiba inaruhusu ww kuongea unachotaka mradi usivunje sheria lkn pia unatakiwa ukubali criticism na uzi handle kwa kujibu pasipo kuwa na mawazo kwamba njia kamili ya ku handle criticism ni kuponda.
 
Samia pesa katoa wapi za kuipa NHC? Huu upuuzi wa media kusema president katoa pesa ni ujinga tunaoukumbatia miaka nenda rudi, huu ni ujinga.

Zingatia kwamba sijasema wewe Geza ndio mjinga bali nimesema media ndio zina huu ujinga ambao nmekuwa nikiukataa miaka mingi wa kusema eti Rais ndio katoa pesa badala ya serikali ya Rais.... Ndio imetoa pesa. Unajua impact ya huu upumbavu unaokumbatiwa na media ni kubwa sana, na ndiyo inatengeneza dictatorship kind of rulling.
 
Samia pesa katoa wapi za kuipa NHC? Huu upuuzi wa media kusema president katoa pesa ni ujinga tunaoukumbatia miaka nenda rudi, huu ni ujinga.

Zingatia kwamba sijasema wewe Geza ndio mjinga bali nimesema media ndio zina huu ujinga ambao nmekuwa nikiukataa miaka mingi wa kusema eti Rais ndio katoa pesa badala ya serikali ya Rais.... Ndio imetoa pesa. Unajua impact ya huu upumbavu unaokumbatiwa na media ni kubwa sana, na ndiyo inatengeneza dictatorship kind of rulling.
Hahaaa!!naona na wewe umeanza kuzinduka baada ya kumsifia magu wakati wa uhai wake alikua akitembea na vibunda vya hela...
Vipi, zile zilikua za kwake kweli
 
MY FRIEND...DO YOU KNOW HOW MUCH IS 40 BILLION DIFFERENCE????
WE ARE WAY MUCH BETTER...ASK BABA LEVO...HE WAS SHOCKED WHEN HE CAME TO KENYA....NA YEYE HUWA MBISHI SANA...LAKINI ALIPO KUJA HUKU ...ALIKUBALI MWENYEWE.....
infact $41B is the whole uganda+rwanda


ie. Tanzania+Uganda+Rwanda=Kenya

japo watanzania wengi humu hawatakubali facts
 
Kenya Kuna media freedom?, Hivi Kati ya Kenya na Tanzania ipi ipo na demokrasia zaidi kwa mujibu wa viwango vya dunia?, Sasa Kama Tanzania imeizidi Kenya katika demokrasia vipi Kenya iwe na media freedom kuizidi Tanzania?

Hao wakenya ndio wanaolinganisha crime rate ya TZ na Kenya ndio sababu tunalinganisha, Sasa wewe unayejaribu kutumia" isolated cases" kuonyesha kwamba Tanzania Kuna tatizo kubwa lakini hakuna media zinazotanga ila Kenya media ndio zinatangaza, unapaswa ujiulize, Je hao wanatoiweka Tanzania kuwa namba 58 na Kenya 116 duniani katika Amani nao pia wanatumia kufikiria Kama wewe?
Media na Amani wapi na wapi, kurukaruka tu km kawaida yako
 
infact $41B is the whole uganda+rwanda


ie. Tanzania+Uganda+Rwanda=Kenya

japo watanzania wengi humu hawatakubali facts
GDP imara lazima iwe ina reflect maendeleo ya nchi, huwezi kuwa na GDP kubwa kuliko Tz then Tz inakuzudi kila mahali ktk miradi mbalimbali, miradi tunayofanya ni sawa na miradi yote ya EA na bado hamfikii thamani ya projects zetu.

GDP kubwa na bado serikali haiwezi kufanya miradi kwa pesa za ndani, what does GDP mean? GDP inayoshindwa hata kuwahakikishia uwezo wa kulisha raia wenu hyo ni GDP au ushuzi?
 
Hii yenyewe Virgin + Kilimanjaro ni marketing ya nguvu! Angalia ilivyotrend hapo all balloonists wameona mchongo Tanzania.
yani wanawivu sana hawa jamaa 🤣🤣🤣🤣 niliwaambie huo mlima unaingiza hela nyingi sana kuliko masai mara na tsavo combined
 

An African adventure for a Virgin balloon


A Virgin balloon flying over Kilimanjaro

Pablo Bustos


The Virgin logo in red text on a white background

by Virgin
19 January 2022

Richard Branson set multiple world records with his ballooning adventures in the 1980s and 1990s. So when Virgin Balloon Flights were asked to lend a balloon to another ballooning enthusiast to go on the trip of the lifetime, the team knew they had to do what they could to help.

The ballooning enthusiast in question is David Bareford, the father of one of Virgin Balloon Flights’ pilots. He was setting out on an adventure with balloon manufacturer and expedition facilitator Ultramagic to do two things: fly over Mount Kilimanjaro and then be one of the first to fly in the Ngorongoro Conservation Arena in northern Tanzania, crossing the Ngorongoro crater.

Pablo Bustos

Pablo Bustos

David is no stranger to challenging hot air balloon rides, having flown over Kilimanjaro 10 years ago with Ultramagic. He also won the National championships in Saga, Japan, in 1997 and Chatellerault, France, in 2002.

Plus, he took home the bronze medal at the first World Air Games in 1997, and he’s taken part in competitions around the world. If anyone could take on a challenge like this, it was David.


Kilimanjaro challenge

On the morning of the Kilimanjaro flight, David and the other pilots took off at 5.45am. There had been a rainstorm earlier, but by the time the balloons were due to take off it was dry.

“The launch site was at 5,300 ft amsl (above sea level) and within a couple of hundred feet we had entered cloud,” David said. “We continued our steady ascent, breaking cloud at about 8,500 ft, to be greeted by a clear sky above, the two mountain peaks of Kilimanjaro clearly visible in front of us and the rain clouds behind us.

“We could see most of the early balloons way ahead of us and mostly to the left of the peak but by staying relatively low I found a direction that would allow us to steer towards the crater. We passed close over the peak of Mawenzi and then descended slightly to line ourselves up for the main peak and crater. After just over an hour’s flying and 19 miles from take-off we passed straight over the crater with 1200 ft to spare, lobbing a competition marker into the crater as we passed!”

Pablo Bustos

Pablo Bustos

David continued: “We flew on and at the far side the wind speed was slowing, dropping down to about eight knots and I became concerned that we would not have the duration to fly on to the landing area 15 miles beyond. After another hour and getting slightly nervous we had just reached the rainforest belt with the speed now down to barely five knots. We then heard on the radio from Stefan Zeberli that there were still about 20 knots at 10,000 ft so we started our descent. There was broken cloud below, so we flew on for another 30 minutes by which time the cloud had cleared and we were now well over the landing area on the far side. We initiated a descent virtually coming straight down from 10,000 ft to a stand-up landing near the road at a height of 4,800 ft amsl. We had flown for 50 miles in just over three hours and still had about hundred litres of fuel left.”

Pablo Bustos

Pablo Bustos

When asked how he felt about the whole experience, David said “This was probably one of the best flights I’ve ever done. When I did it 10 years previously, I had regretted not dipping down and really seeing the crater so I was glad I had a chance to go again and really appreciate it.”

On to Ngorongoro

There was no time to stop and celebrate the Kilimanjaro flight as next the team was off to Ngorongoro, a large crater 12 miles in diameter with steep sides. Ultramagic owner Josep Maria Llado had been trying for years to fly in or over the crater and this was the first time the balloons had been given permission.

Pablo Bustos

Pablo Bustos

The team set off for the launch site at 4am, with a strong breeze that looked like it might jeopardise the flight. They were told that although they could fly over the crater, they did not have permission to land in it so would have to fly beyond.

“The wind direction looked as though it would take us over a tall mountain beyond the crater edge to the west which the approaching dawn revealed, covered in cloud. As I prepared, the wind abated slightly allowing the balloon to inflate without problem and we were soon off,” David said. “The wind picked up again and several balloons had difficulty in inflating behind with two managing to drag their pickup vehicles across the launch site. By staying low but above the stipulated 1000 ft over the animals we tracked north-west straight across the crater and the large lake in the centre with great views of elephants, herds of zebra, wildebeest and buffalo.

Pablo Bustos

Pablo Bustos

“After an hour we crossed the crater rim passing over a herd of giraffe and headed out towards a large flat plain close to the road that ran from the crater rim down towards Olduvai Camp. We dropped down towards the plain covering the next 15 miles in only half an hour landing at about 20 knots on very firm but flat scrubland.”

With the flight over Ngorongoro completed, the adventure was over, but we’re sure it’s one that David and his fellow pilots won’t forget anytime soon. He commented: “With the pandemic now into its second year it had made this adventure all the more special and memorable.”

And plans are already afoot for the next adventure. We can’t wait to see where the balloons will float next.

Want to experience the thrill of a balloon ride for yourself? Visit Virgin Balloon Flights to start making your plans.




MY TAKE
Nimetafuta news za Mahali Mzuri website ya Virgin nimepata zero result yaani nada!
 
Back
Top Bottom