Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Tatizo la Tanzania ni kuwa taasisi za serikali ni mbovu na corrupt. Pia justice system ni vile vile. Wapelelezi hadi wasubiri kauli ya makamu wa Rais Ndio wafanye kazi yao?Wacha kuchanganya Mambo, hao wapelelezi sio wenye maamuzi ya kuwafunga au kuwaachia watu, hao kazi Yao ni kuwakamata suspects na baadae kufanya upekekezi Kama hao suspects kweli ni wahusika au hapana. Hizo siku Saba ni siku za kuwakamata suspects, sio siku za kufanya upelelezi na kuamua Kama ni wahusika kweli au hapana.
Mkuu kumbuka kwamba, baada ya tukio, uwezekano wa kuwakamata watuhumiwa ndani ya wiki ya kwanza ni 95%, baada ya kupita wiki ya kwanza, uwezekano unashuka Sana, hata chini ya 60%
Ni jukumu la serikali kusimamia vyombo vyake vya Dola kuwajibika kwa wananchi, endapo vitashindwa kuwajibika kwa wakati, lazima waviwajibishe kwa kutowajibika, kubambikiza kesi ni sehemu ya kutowajibika ipasavyo, pia ni kosa sawa na kutowajibika kwa wakati, lazima wahusika wawajibishwe Kama watafanya hivyo.
Mkuu, viongozi wakiwajibika tunapiga kelele, wakitulia na kuacha Mambo yajiendeshe hovyohovyo bila usimamizi pia tunapiga kelele. Sasa wewe ulitaka aseme kuwa "ninawapa matumaini na kuwatia Moyo?", Kwahiyo hizo kauli alizozisema kwamba ndani ya wiki Moja lazima wahusika wakamatwe, unadhani zimewatia Moyo au kuwavunja Moyo familia?
Hata kama probability ya kuwakamata suspects ni 100% within this week, kama suspects sio the actual culprits, bado kesi itazidi kuchukua muda kutatuliwa. Huwezi kwenda barabarani tu na kuanza ku-arrest people na Kuwaita suspects! You need to arrive to a conclusion that links the suspects to the crime, and this is only possible if and only if the detectives do their job Kwa muda wa kutosha. Sio kuwa forced kukamata watu within a week!
Na pia hoja yako ya kuwa wapelelezi wawajibishwe Kwa kutowajibika, unadhani Adhabu yao iwe nini? Mfumo wa kutengeneza polisi ni ovyo na corrupt, unategemea iwajibikaji utaanza lini?