fantasticfive
Senior Member
- Jan 7, 2022
- 160
- 286
๐๐๐๐ฎ
๐๐๐๐๐๐๐๐ Own goal.
Tulia msee bado mko worse kama kawa
๐๐๐๐ฎ
Kama haunielewei unatakaje sasa? nikusaidie vipi? pita kimya kimya tu na tusonge mbele, sio dhambi pia ๐Nje ya hii broken uliyoongea hapa hakuna point umeweka, hebu jibu swali wacha kurukaruka na hizi lugha za watu, have u understood what he tried to mean?
Unakuaga mbu mbu mbu siku zote ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ,GDP imara lazima iwe ina reflect maendeleo ya nchi, huwezi kuwa na GDP kubwa kuliko Tz then Tz inakuzudi kila mahali ktk miradi mbalimbali, miradi tunayofanya ni sawa na miradi yote ya EA na bado hamfikii thamani ya projects zetu.
GDP kubwa na bado serikali haiwezi kufanya miradi kwa pesa za ndani, what does GDP mean? GDP inayoshindwa hata kuwahakikishia uwezo wa kulisha raia wenu hyo ni GDP au ushuzi?
And WFP wasijue?๐๐๐๐๐๐๐๐ Own goal.
Tulia msee bado mko worse kama kawa
View attachment 2097098View attachment 2097099
Wkt cc tunajiandaa kuvuna tulichopanda wao wanajiandaa kununua kutoka kwetu, what a parasitic Nation.
Wkt cc tunajiandaa kuvuna tulichopanda wao wanajiandaa kununua kutoka kwetu, what a parasitic Nation.
Sasa ulitaka samia hawaponde ata raisi wenu akija hku uwa anatusifia ata jpm naye alikua anawasifia ila iyo haimaanishi kwamba hali yenu ni nzuri sana kutushinda sisi , alafu Kinginee unajitetea hapa kwamba nyinyi mko mbali sana kutushinda sisi haya twende basi on ground kati yenu na moroko hvi umewahi kuskiaunajua kila nchi huwa na changa moto zake...etc...ninachosoma hapa ni because of tanzanias negative attitude towards kenya..huwa serikali na media zenu hazitangazi maendeleo ya kenya ila mambo kama njaa etc...just the way western countries like to potray africa...but kwa kiukweli ingekuwa tz media inaonyesha na kutangaza kiukweli maendeleo ya kenya...hapo ungejua sisi ni kina nani....wakati Rais Suluhu alizuru kenya alishangazwa saana na maendeleo aliyojionea...akashinda akisifu uzuri wetu kila alipoanza hotuba zake...tafuta hotuba zake you tube ujioneee... naye baba levo alipokuwa huku juzi alishangazwa sana na maendeleo ya kenya...mimi namjua baba levo alivyo mbishi and very outspoken..yule sio mtu wa kusema eti amfurahishe mtu...lakini alipigwa na butwaaa. Na bila aibu au haya ikambidi akiri ukweli mbele ya redio staion akisikika TZ yote....unadhani kenya ni mchezo ili imshangaze baba levo kiwango hicho??
Wewe hapo huenda hujakuja kenya bado, Na media zenu zina waonyesha mambo negative pekee kuhusu kenya...ndio maana mna nguvu ya kubishana saana bila proof yoyote...Utakapo kuja kenya..hata hiyo moroco unayoitaja hapa utaiona iko chini....
YAANI IMEFIKA KIWANGO NIWAKARIBISHE HUKU KWA BILL YANGU NIWATEMBEZE HUKU KIASI...HALAFU SIWADANGANYI .....HATUTAWAHI JADILIANA TENA KUHUSU MAENDELEO YA EAST AFRICA.....KWA SABABU MTAKIMYA MILELE.....
BABA LEVO KWA MANENO YAKE MWENYEWE...
" MIMI NI MBISHI SANA..LAKINI NAIROBI JAMANI WAMETUZIDI MBALI SANA...YAANI KUIFIKIA...KUIFIKIA ...KUIFIKA LEVEL YA NAIROBI , KWA BONGO, HII DAR ESAALAMA , KUIFIKIA LEVEL YA NAIROBI , TUNAHITAJI MIAKA ISHIRINI NA TANO MBELEE................."
until u come to kenya na upate kukaa huku kwa muda kiasi, kama vile sabaticle ama babalevo, ndio upate picha kamili, yani upate kuelewa kenya vizuri. kwa sasa unajua kenya tu kwenye magazeti na televisheni, asanteGDP imara lazima iwe ina reflect maendeleo ya nchi, huwezi kuwa na GDP kubwa kuliko Tz then Tz inakuzudi kila mahali ktk miradi mbalimbali, miradi tunayofanya ni sawa na miradi yote ya EA na bado hamfikii thamani ya projects zetu.
GDP kubwa na bado serikali haiwezi kufanya miradi kwa pesa za ndani, what does GDP mean? GDP inayoshindwa hata kuwahakikishia uwezo wa kulisha raia wenu hyo ni GDP au ushuzi?
their is no way tumewazidi kiuchumi mara mbili, na idadi yetu ni ndogo shida yenu, kisha mutuzidi kwa chochote,...... hakuna siku, pengine kama ingekua ni kwa miujiza, ila mimi siamini miujizaGDP imara lazima iwe ina reflect maendeleo ya nchi, huwezi kuwa na GDP kubwa kuliko Tz then Tz inakuzudi kila mahali ktk miradi mbalimbali, miradi tunayofanya ni sawa na miradi yote ya EA na bado hamfikii thamani ya projects zetu.
GDP kubwa na bado serikali haiwezi kufanya miradi kwa pesa za ndani, what does GDP mean? GDP inayoshindwa hata kuwahakikishia uwezo wa kulisha raia wenu hyo ni GDP au ushuzi?
read! read! where do you see from an official source or at least show evidence that he was in TZ๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
his twitter page shows nothing at all ..
the only thing being this tweet by Holly Branson saying Virgin Baloon flying over Kilimanjaro and not Richard Branson๐คฃ๐คฃ(barely 2 replies and 6 retweets)๐คฃ๐คฃ๐คฃ no wonder it didnt make the local news bulletin๐คฃ๐คฃ
Jicho boi naye ata argue facts na ukondoo
View attachment 2096712View attachment 2096713
View attachment 2096715