Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Crazy bullshit BRT.., mnafinyana kama makondoo ndio cha kuambia watu humu, masaibu ya uchumi hafifu, mnajenga vitu vidogo ilhali mko wengi ona sasa kiatu kipya tayari kinawafinya
Hata first world yenyewe systems za mass transit watu wanajazana angalia London underground na London buses watu hujazana mpaka hamna nafasi ya kuweka mguu
 
Maumivu, vumilia miaka ishirini na Tano sio mingi, tutajadiliana mkifika pale.., kwa sasa ni paka(Kenya) anacheza na panya(Tz) humu akijienjoy tu..., Mko down whether u want to see it or not..,mtajitia hamnazo, mtajiliwaza na kujifariji but numbers won't lie

#revenue
Endelea kujiliwaza kwa namba wakati "on the ground" kila kitu wakenya wanakimbilia Tanzania
 
Kwa hiyo mamlaka husika isipopata any useful leads or suspects within that time frame nini kitatokea? Watabambikiza watu wengine kesi as long as kesi ifungwe?

Hii nchi ina vituko. Unampa detective deadline ya ku-solve kesi? 😂😂 Kuna kesi zinachukua hata miongo kutatuliwa. Afadhali angesema kuwa anahitaji hii kesi itatuliwe haraka iwezekanavyo na wahalifu wapatikane and be brought to justice!

I thought such news never happens in Tanzania! So sad, I feel for the family. African govts are a let down, they merely offer statements anyhowly just to appear to be working, also in most situations their slow reaction and slagish move where urgency is required is always sickening!., Hii ungepost kwa jukwa la siasa ama habari na hoja mchanganyiko kulee watu wachanganyikiwe na taarifa, most of your country men here hawapendi ukweli kama huu, unadhalilisha Tanzania nchi tulivu ya maziwa na asali bro.., u will be suspected as a Kenyan who hides here as a Tanzanian, bite me man 😂😂😂😂😂,
 
Kaka Kama huna la kuchangia Bora ukae kimya, Sasa Kama kiongozi ulitaka asemeje?, amekwenda kutoa pole kwa familia, ulitaka Kama serikali iondoke bila kuwatia Moyo?.

Unajua kwanini serikali imekabidhiwa majukumu ya Ulinzi na usalama wa raia?, Ni jukumu la vyombo husika kuhakikisha watu hao wanapatikana, la sivyo wapelelezi lazima wawajibishwe kwasababu watakua wameshindwa kazi inayowafanywa walipwe mishahara na marupurupu Yao.

Wacha kuwa "Negative" wakati wote, kwanini unakimbilia kubambikiza kesi badala ya kuanza kufikiria kuwajibishwa kwa hao waliopewa amri ya kuwatafuta wahusika?

Hakuna neno lolote kwenye hiyo tweet linalohusiana na kiongozi kuwatia moyo wanafamilia. Makamu wa Rais anachotaka ni kupatikana Kwa wahalifu ndani ya siku saba. Je, hao wahalifu wasipopatikana nini kitatokea? Hao wapelelezi wana jukumu la kuhakikisha wanawapata wahusika by Jumatano ya wiki Ijayo. Hivyo wasipowapata hao wahalifu nini kitawatokea? Lazima wawe desperate kupata suspects na inawezekana wakakamata watu innocent ilimradi kesi ifungwe kwa wakati uliotolewa.

Pia Evidence zinaweza zisiwe analyzed vizuri kwasababu tu wamepewa deadline!

Law enforcement wapewe nafasi yao ya kufanya kazi kwa weledi. Kama wamepitia mafunzo, kazi wanaifanya. Lakini ni ridiculous kumpa detective deadline ya ku-solve kesi. It’s just nuts!
 
I thought such news never happens in Tanzania! So sad, I feel for the family. African govts are a let down, they merely offer statements anyhowly just to appear to be working, also in most situations their slow reaction and slagish move where urgency is required is always sickening!., Hii ungepost kwa jukwa la siasa ama habari na hoja mchanganyiko kulee watu wachanganyikiwe na taarifa, most of your country men here hawapendi ukweli kama huu, unadhalilisha Tanzania nchi tulivu ya maziwa na asali bro.., u will be suspected as a Kenyan who hides here as a Tanzanian, bite me man 😂😂😂😂😂,
I told them the other day that crime rate in Tanzania is increasing rapidly. Juzi hapa polisi wameua mtu na kuchukua pesa zake. Hawa ni law enforcement wanaotakiwa kulinda Raia na Mali zao Ndio wamebadilika kuwa criminals! But as usual, waTZ hawapendi habari mbaya. Heri wazifukie zisionekane hapa.
 
What you fail to understand is Tz has space for economic growth while Kenya has reached its saturation point.
WHAT DO YOU MEAN BY SPACE? THE SPACE HAS ALWAYS BEEN THERE BUT YOU GUYS ARE NOT GROWING..AT LEAST YOU ARE NOT COMING ANYWHERE CLOSE TO WHERE KENYA IS ECONOMICALLY.
AND DO YOU KNOW THE PROJECTIONS ARE SHOWING THAT TANZANIAS GDP IS GOING TO SHRINK FROM 69 BILLION $ TO 62 BILLION $ IN 2022/2023...
WHILE KENYA IS GOING TO INCREASE FROM 104 BILLION $ TO 107 BILLION $ . RESPECT OUR BRAINS YOU TANZANIANS.
 
Hakuna neno lolote kwenye hiyo tweet linalohusiana na kiongozi kuwatia moyo wanafamilia. Makamu wa Rais anachotaka ni kupatikana Kwa wahalifu ndani ya siku saba. Je, hao wahalifu wasipopatikana nini kitatokea? Hao wapelelezi wana jukumu la kuhakikisha wanawapata wahusika by Jumatano ya wiki Ijayo. Hivyo wasipowapata hao wahalifu nini kitawatokea? Lazima wawe desperate kupata suspects na inawezekana wakakamata watu innocent ilimradi kesi ifungwe kwa wakati uliotolewa.

Pia Evidence zinaweza zisiwe analyzed vizuri kwasababu tu wamepewa deadline!

Law enforcement wapewe nafasi yao ya kufanya kazi kwa weledi. Kama wamepitia mafunzo, kazi wanaifanya. Lakini ni ridiculous kumpa detective deadline ya ku-solve kesi. It’s just nuts!
Wacha kuchanganya Mambo, hao wapelelezi sio wenye maamuzi ya kuwafunga au kuwaachia watu, hao kazi Yao ni kuwakamata suspects na baadae kufanya upelelezi Kama hao suspects kweli ni wahusika au hapana. Hizo siku Saba ni siku za kuwakamata suspects, sio siku za kufanya upelelezi na kuamua Kama ni wahusika kweli au hapana.

Mkuu kumbuka kwamba, baada ya tukio, uwezekano wa kuwakamata watuhumiwa ndani ya wiki ya kwanza ni 95%, baada ya kupita wiki ya kwanza, uwezekano unashuka Sana, hata chini ya 60%

Ni jukumu la serikali kusimamia vyombo vyake vya Dola kuwajibika kwa wananchi, endapo vitashindwa kuwajibika kwa wakati, lazima waviwajibishe kwa kutowajibika, kubambikiza kesi ni sehemu ya kutowajibika ipasavyo, pia ni kosa sawa na kutowajibika kwa wakati, lazima wahusika wawajibishwe Kama watafanya hivyo.

Mkuu, viongozi wakiwajibika tunapiga kelele, wakitulia na kuacha Mambo yajiendeshe hovyohovyo bila usimamizi pia tunapiga kelele. Sasa wewe ulitaka aseme kuwa "ninawapa matumaini na kuwatia Moyo?", Kwahiyo hizo kauli alizozisema kwamba ndani ya wiki Moja lazima wahusika wakamatwe, unadhani zimewatia Moyo au kuwavunja Moyo familia?
 
I told them the other day that crime rate in Tanzania is increasing rapidly. Juzi hapa polisi wameua mtu na kuchukua pesa zake. Hawa ni law enforcement wanaotakiwa kulinda Raia na Mali zao Ndio wamebadilika kuwa criminals! But as usual, waTZ hawapendi habari mbaya. Heri wazifukie zisionekane hapa.
Hakuna nchi yoyote inapenda habari mbaya. Hatujasema hakuna matukio Tanzania, kwasabu hata New Zealand ambayo inaongoza kwa Amani duniani, mwaka juzi zaidi ya watu 30 waliuliwa kufuatia mashambulizi ya kigaidi.

Mambo Kama haya ni "Breaking News" kwa Tanzania, lakini Kenya ni "daily events" na serikali ya Kenya Wala wananchi wa Kenya hawastuki kabisa.
 
WHAT DO YOU MEAN BY SPACE? THE SPACE HAS ALWAYS BEEN THERE BUT YOU GUYS ARE NOT GROWING..AT LEAST YOU ARE NOT COMING ANYWHERE CLOSE TO WHERE KENYA IS ECONOMICALLY.
AND DO YOU KNOW THE PROJECTIONS ARE SHOWING THAT TANZANIAS GDP IS GOING TO SHRINK FROM 69 BILLION $ TO 62 BILLION $ IN 2022/2023...
WHILE KENYA IS GOING TO INCREASE FROM 104 BILLION $ TO 107 BILLION $ . RESPECT OUR BRAINS YOU TANZANIANS.
Talk about projects and services which are essential for human development, not GDP which doesn't bring food on the table, your people are suffering for not having basic health care, still you are singing GDP, what is GDP for!?
 
Waken
IMG_20220127_074805.jpg
IMG_20220127_074805.jpg

Wakenya hamna msimamo..mliwafungia kwa kiburi...mkawafungulia kwa upole...jamaa bado wamewakamata kende hawataki kuachia.
 
Endelea kujiliwaza kwa namba wakati "on the ground" kila kitu wakenya wanakimbilia Tanzania

😅😅😅😅 Yaani Wakunya wanasafiri kilometers 300 Mombasa to Kilimanjaro kutafuta specialists baada ya referrals zote za kunyaland kufail?

Walisema Counties za kajiado, voi na nyingine zipo karibu na Kilimanjaro ndio maana wana utitiri wa wagonjwa Tanzania, haya hawa wa Mombasa je? Na wale wa JKCI?

Kunyaland ni hovyo, zaidi ya kelele hakuna kingine.
 
Nchi ambayo huyu jamaa kakopa $106B na bado mnakufa njaa na kuomba msaada wa chakula? 🤔

Kenya hata kichaa anaweza kuongoza, kikubwa awe kabila maarufu na aweze kuwadanganya ninyi mazezeta.
nimecheka sana kuna zezeta mmoja eti anajisifu kunyaland kuna upinzani, anashindwa hata kuelewa raila alishahudumu sana serikalini mpaka akawa prime minister na sasa anashirikiana na serikali kuingia ikulu naye mazezete yanaamini ni mpinzani, kibaki aliwahi kuwa vice president wakati wa kenyata baba naye yanamwita raisi wa kwanza mpinzani, huyu mlevi uhuru aliwahi kugombea chama kilichokuwa kinatawala kanu akashindwa, akaanzisha Chama cha upinzani akiungwa mkono na musalia, kibaki na moi aliposhinda naye anaitwa mpinzani, ruto-makamu wa raisi leo wanamwita mpinzani mwenye fikra mpya. kunyaland ni zaidi ya uharo
 
There is no any sub Saharan African country which has reached saturation point in economic growth and development, no one, all have untapped potential, not unless unakurupuka kishabiki tu not intellectual reasoning..,
Population growth ina outstrip GDP growth, fiscal deficits are gapping wide, loan to GDP ratio mtihani, economic tolerance majanga, bludgeoning budget out of control. Economic cycle ndio imefikia peak subiria bust then muanze upya na cycle ingine.

Hizo ndio intellectual facts zangu ambazo zina ni convince sasa wewe leta zako zinazo prove otherwise.
 
Back
Top Bottom