Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

He was the best according to Tanzanian standards. Si mlikua mnamsifu kama mungu mtu hapa wakati alikua uhai?
Angekua Mkenya, magufuli hangekiona kiti cha urais au kiti chochote cha maana. He was too naive to lead a country like Kenya.
Nchi ambayo huyu jamaa kakopa $106B na bado mnakufa njaa na kuomba msaada wa chakula? 🤔

Kenya hata kichaa anaweza kuongoza, kikubwa awe kabila maarufu na aweze kuwadanganya ninyi mazezeta.
 
Tuonyeshe marshalling yard ya SGR kwa port ya danganyika [emoji23][emoji23]View attachment 2081923
IMG_4291.jpg


Narudia tena Kenya hawana SGR wala Marshalling yard, wenyewe mmnajionea tofauti 🤣🤣🤣🤣

Yaani leo Mkenya amewavua Wakenya wenzake nguo
 
huwa nakupotezeaga.. umekaa kama chokoraa flan hiv mwenye access na JF ila ngoja nikupe hii news[emoji23]

this is the biggest marshaling yard in Africa. Copy That!
View attachment 2081938
View attachment 2081939
View attachment 2081940
View attachment 2081941
View attachment 2081942
View attachment 2081943
View attachment 2081944
View attachment 2081945
View attachment 2081946
Hiyo aliyoionesha sio Marshalling yard it is more of container terminal.

Wakenya wote wanajua hiyo MGR yao sio SGR na haina viwango vyovyote vya kuwa SGR, walifanya kosa kubwa sana kukurupuka ili waitenge Tanzania matokeo yake wakapata kitu kibovu sana
 
Yani siku hizi Wabongo wanawafuata Wakenya kila mahali kuleta ushindani. Yani hadi Mkenya akimake tu comment kwa twitter ndio hao. Inferiority complex ni mbaya. 🤣🤣🤣
 
Yaani hapa huwezi tambua taka taka ni ipi na ipi sio takataka maana vyote ni Uchafu[emoji1787]. Hili lory linalobeba abiria kwa sura ya kulazimisha ya Bus hamna hata maji ya kumwagia litakate kidogo litofautiane na takataka ? Maji hamna? Mbona pabichi muda wote hapo chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Johannesburg wanafeli wapi hawa wakuu.

View attachment 2081976
😂😂😂😂😂😂😂😂

Kwamba takataka hazijulikani? Mbeba taka na takataka zote sawa 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom