Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So unadhani pesa ndo inaleta mvua? There is a huge drought in the northern side and drustic measures are being taken Tanzania kuwe Na drought am not sure you will sustain shukueu Mungu your lands are fertile in most parts of the country half of Kenya is a dessert
We ni kichaa kabisa.
Shule umeenda kuongeza ujinga ama?
Mwaka 2015 Misri ilikua inaanzisha kilimo cha kisasa jangwani.Imagine Jangwani.
It means kutakua kuna vyanzo vya umwagiliaji na ubadilishaji udongo kuwa na rutba.
Hapo Turkana mkiwekeza pesa mkachimba visima vya kina kirefu maji hamkosi na mkaanzisha irrigation farming inawezekana.
Embu acha kuficha makosa ya serikali yenu kuwa ni wazembe.
 
So the ongoing drought in Tanzania is because of your government's incompetence? How do you people reason?
 
Acha kuwa zombie vitu unalinganisha hapo ni vitu viwili tofauti, alaf unauliza mwenzako ana reason vipi😂😂😂 umesoma wapi we kichaa.? Unalinganisha Ukame unaokuja na kuondoka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa vs hali ya ardhi kuwa jangwa (Desert) hali Ambayo ipo permanent uko kwenu (siku zote za maisha), ambapo ni possible kubadilisha jangwa kuwa Green Forest au chochote kile .. let's take china as an example, 93,000 hectares of land, it's the largest man made forest on earth👇 . Mmesoma wapi nyie vilaza.? Elimu inawasaidia nini nyie punda,.? Au mpaka mzungu aje awekeze apartments 😂😂😂.?
 
mbingu na ardhi

thika👇🏽
Thika3.jpg
Thika7.jpg
Thika9.jpg
Screenshot_20220124-234508_YouTube.jpg
Thika5.jpg
Thika11.jpg

dom👇🏽
Screen-Shot-2018-11-26-at-12.11.46-PM.png
thumb_2392_800x420_0_0_auto(0).jpg

dom is so scanty and empty, yani skeleton, in the making
 
Acha kuwa zombie vitu unalinganisha hapo ni vitu viwili tofauti, alaf unauliza mwenzako ana reason vipi😂😂😂 umesoma wapi we kichaa.? Unalinganisha Ukame unaokuja na kuondoka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa vs hali ya ardhi kuwa jangwa (Desert) hali Ambayo ipo permanent uko kwenu (siku zote za maisha), ambapo ni possible kubadilisha jangwa kuwa Green Forest au chochote kile .. let's take china as an example, 93,000 hectares of land, it's the largest man made forest on earth👇 . Mmesoma wapi nyie vilaza.? Elimu inawasaidia nini nyie punda,.? Au mpaka mzungu aje awekeze apartments 😂😂😂.?

Ona kondoo 😂😂. So basically your government is so incompetent that it doesn't have a solution to a drought that comes and goes but your tiny brain thinks our government is worse because it can't turn an actual desert into a forest? 😂😂😂😂.
 
reza uk
rik
ge

We nawe kiingereza kingi akili hamna.
Sijasema ukame ni kutokuwajibika kwa serikali.
Ila je baada ya ukame kutokea hatua zip serikali ilichukua!?
Mi zaidi ya miaka mitano mnajua huko kaskazini mwa Kenya kuna ukame je mlichukua hatua gani?
Misri ilichukua hatua ya kuanzisha kilimo cha kisasa jangwani na kuchimba visima virefu vya maji.
Je Kenya mmechukua hatua gani?
HATA SISI TANZANIA KULINGANA NA UKAME WA MANYARA SERIKALI INATAKIWA ICHUKUE HATUA ILI MAJI YAPATIKANE YA KUTOSHA KWA MIFUGO.MAANA TATIZO NDIO KWANZA LIMEJITOKEZA TWASUBIRI SERIKALI ITACHUKUA HATUA ZIPI.
Una poor reasoning halafu mnajiita wasomi nyambafu.
 
You see the problem with you people is you barely do any research otherwise you'd know that irrigation projects have been ongoing in Turkana. One thing you don't even realize is that Turkana is very expansive with many remote communities

Je mlichowekeza kinaendana na shida iliyopo?
Inaonekana hamkuwekeza ipasavyo ktk kilimo cha umwagiliaji.
Pia mlitakiwa muhakikishe kila palipo na makazi ya watu mnachimba visima virefu vya maji.
Nikutolee mfano Dodoma ni miongoni mwa mikoa yenye ukame yani (semi arid)
Lakini serikali imehakikisha kila penye makazi ya watu visima virefu vinachimbwa vya maji safi.
 
Back
Top Bottom