Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Ahsante, wewe ndio umeelewa nilichokuwa nauliziaIn 2007 the Burundian government announced plans to eventually move the national capital from Bujumbura to Gitega.
Ahsante, wewe ndio umeelewa nilichokuwa nauliziaIn 2007 the Burundian government announced plans to eventually move the national capital from Bujumbura to Gitega.
kwenye magari mengi hapana hapa nakukatalia, tanzania kuna magari mengi sana tena sana


Apo najua utabisha lakini ukitoka dar uko mikoani hali sio nzuri kabisa...wakenya wanamagari kutuzidi amini ivyoWenae, sasa kama Dar imeizidi Nairobi kwa magari, na nairobi ndio mji mkubwa Kenya na ndio wenye population kubwa unategemea mji gani Mwingine ukizingatia Kenya ni Nairobi tu? Unataka kusema counties nyingine za jangwani ndio zinazidi mikoa mingine ya Tanzania?Apo najua utabisha lakini ukitoka dar uko mikoani hali sio nzuri kabisa...wakenya wanamagari kutuzidi amini ivyo
bujumbura ndio mji mkuuUkiacha kufikiria sgr ndio utanielewa, ukiendelea kufikiria sgr hautanielewa.
Sasa achana na sgr twende kwenye jiografia, mji mkuu wa Burundi ni upi?
wanmagari yako wapi bro au ww kuna maeneo tanzania hii hujafika 😆😆 mm kenya naijua na tanzania naijua na bahat nzuri nimezunguka sana kenya sijui kama tunaeza bishana kwa hiloApo najua utabisha lakini ukitoka dar uko mikoani hali sio nzuri kabisa...wakenya wanamagari kutuzidi amini ivyo
Dar haiwez zaidi nbo kwa magari sasa kila kitu unabisha tu ili iwe battle auWenae, sasa kama Dar imeizidi Nairobi kwa magari, na nairobi ndio mji mkubwa Kenya na ndio wenye population kubwa unategemea mji gani Mwingine ukizingatia Kenya ni Nairobi tu? Unataka kusema counties nyingine za jangwani ndio zinazidi mikoa mingine ya Tanzania?
usimlaumu huenda bado kenya hajaijua vzr sana bro 😀😀😀 hio mwanza yenyewe sasa hvi kuna foleni balaa nilikua huko two weeks ago alaf pia angalia tanzania ni kubwa mara mbili ya kenyaWenae, sasa kama Dar imeizidi Nairobi kwa magari, na nairobi ndio mji mkubwa Kenya na ndio wenye population kubwa unategemea mji gani Mwingine ukizingatia Kenya ni Nairobi tu? Unataka kusema counties nyingine za jangwani ndio zinazidi mikoa mingine ya Tanzania?
Kati ya mimi na wewe nani mbishi?Dar haiwez zaidi nbo kwa magari sasa kila kitu unabisha tu ili iwe battle au
tena very modern 48minutes ni nyingi sana kama emergency alternativeToo much for the 'modern electric esigiara'
View attachment 2084868
😅😅😅😅 Malori tu yanayozomba mzigo kwenye bandari zetu na mabasi ya mikoani ni kama jumla ya magari ya counties 8 za kenya, huyu jamaa yenu vipi 😂😂😂😂usimlaumu huenda bado kenya hajaijua vzr sana bro 😀😀😀 hio mwanza yenyewe sasa hvi kuna foleni balaa nilikua huko two weeks ago alaf pia angalia tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya
ahahahahha aloo dar ina km sq 1600 na nairobi ina km sq 590 na bado dar ina barabara nyingi sana na bado kuna foleniDar haiwez zaidi nbo kwa magari sasa kila kitu unabisha tu ili iwe battle au
tena very modern 48minutes ni nyingi sana kama emergency alternative
Dar haiwez zaidi nbo kwa magari sasa kila kitu unabisha tu ili iwe battle au
nenda nae taratibu tu bro ataelewa tu 😅😅😅😅😅😅 Malori tu yanayozomba mzigo kwenye bandari zetu na mabasi ya mikoani ni kama jumla ya magari ya counties 8 za kenya, huyu jamaa yenu vipi 😂😂😂😂
Gari za migodini anazijua?
Kuna Watanzania wengine mama mtanzania baba mkenya, sasa hivi vitasa mnavyowapa lazima ziwaruke 😂😂😂😂Muwe mnaweka hata Kiambatanisho basi tujue mnavyohesabu.
Hii nimeokota Google huko wataalamu wanaweza Lete zile data zilizoenda shule.
Dar es salaam 2012:
View attachment 2084878
Nairobi 2030
View attachment 2084879
😂😂😂😂😂😂😂nenda nae taratibu tu bro ataelewa tu 😅😅
ikiwa itapata hitilafu ya umeme
Still kenya tuna magari mengi kushinda tz even though its expensive to buy, thats my point, kama unapinga angalia factsSasa Kenya mpaka uwe na 20 million ndio umiliki gari wakati Tanzania million 3 tu una uhakika wa kupata gari, wapi watakuwa na gari nyingi?
Case ya supercars ni tofauti na unachojaribu kuelezea sababu mwenye uwezo wa kununua Ferrari, ushuru sio issue kwake.
Kenya wengi masikini hamna uwezo wa kushindana na Tanzania lakini hamsikii
😂😂😂 sasa mbona unatapika ovyo tuStill kenya tuna magari mengi kushinda tz even though its expensive to buy, thats my point, kama unapinga angalia facts