The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
GDP ya ukweli ina push strong shilling.
Yaani Kenya million 10 TZS unajenga ghorofaMost of those low rise buildings in Kenya ar of low quality 😂😂😂 gorofa za udongo..
Magu alikua anabana hizi fedha ili afenye maajabu kwenye barabara na miondombinu muhimu zaidi, ila kama angeendelea na trend aliyoanza nayo kikwete kwenye hii sector, hizi mbwa za Kenya sasahiv zingekua zinatuheshimu ..
Probably 😂😂😂 mana sio kwa hizo gorofaYaani Kenya million 10 TZS unajenga ghorofa
Hii ni lazima itaongeza GDP,kwanza siku ya kuifungua lazima tule kiti moto humo ndaneeh😂😂😂State House 91% done ✅ 👇View attachment 2084235View attachment 2084236View attachment 2084237View attachment 2084242View attachment 2084243bongo tupo vizuri kwenye masuala ya ujenzi bhana .. pesa zetu,kandarasi wetu.. taifa lenye watu wenye akili zaidi in Sub-sahara
Mliishiwa dar unapanguza makalio na dodoma village......Are you taking your meds?Narudia tena, Dodoma inaweza kuichapa Nairobi kabisa kwenye residential property
Nairobi haina estate yoyote ya ukubwa huu, I mean Kenya yote sababu Nairobi ni kuionea tu
Sikiliza hizo projects nyingine zinazokuja
View attachment 2084273
Mmejengewa na China hamna uwezo wa kujenga kunyalandWenu wa 80s uko wapi
Nyie kubalini tu ya kwamba kenya ilijenga uwanja wa 60k seaters wakati nyie mko stone age
Uvinza-Msongati-Giteta SGR loading...