komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wanalipwa vizuri kwhyo kuishi kifahari sio tatizo kwao, upomm nishawah sema nn mukakataa nyinyi? sikusema matajiri wengi kenya ni politician na ndio owner wakubwa wa lands [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
leo unatembelea hoja yangu
kenya haiwezi kushidana na tanzania kwenye magari ya kibabe hata siku moja huku vijana wadogo unawakuta na mashine za adabu