Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumiliki gari kutoka nje naona kw mtazamo wangu ni rahisi sana hta kuliko hapa kenya, manake watu wengi sana wanafanya huo mtindo na bado wanaendelea..

Jamaa ana gari plates za tz karibia zote wakati hko hata nyumba hana, acha tz mpka South Sudan..somalia na ethiopia ndio sijaona ila uganda nimeona wengi sana
Hamna pesa masikini wewe 😂😂😂
 
Kumiliki gari kutoka nje naona kw mtazamo wangu ni rahisi sana hta kuliko hapa kenya, manake watu wengi sana wanafanya huo mtindo na bado wanaendelea..

Jamaa ana gari plates za tz karibia zote wakati hko hata nyumba hana, acha tz mpka South Sudan..somalia na ethiopia ndio sijaona ila uganda nimeona wengi sana
hvi unaeza yarudia maneno ulioyaandika??🤣
 
It has a funny how Tanzanians are always complaining in everything hehe... It's a typical example of a child who lives in a village his mother buys them the best stuff in the village and the mother tells him everyday he is the best in the whole world and the kids grows knowing so.... One day when the kid goes to the city with him a mentality of being the best he can't understand how the other kids are beating him so he believes they are being favored or something.... So he will forever keep defending everything even when he is beaten hands down... Mara GDP is a fallacy Mara world bank is a fake institution only Dar can say a country strength Mara the world media is against Tanzania we are the best... Mara the internet was bribed to write fake data about Tanzania hehe.... The things you here from this south guys you have to seat back and laugh sometimes
imagin Tzs in here truly believe that their actual real nominal gdp is $135B!. they've brushed off the conventional WB and IMF findings. tzs can realy be daring. enway, let them consol themselves wasije wakafa na blood pressure
 
Mzee punguza makasiriko, Tanzania deni letu ni dogo mno na tuna mengi yakayowachukua miaka 50 to 100 kuyafikia wakati ninyi debt ceiling mmeivuka na bado ni shithole country.
Nyinyi Ni jogoo was Kijiji anaye jaribu kuwika mjini hehe
VM6k9kpTURBXy81ZmY0NTI0MzU4YzdhZGJkZjA0ODA1NTQ0NmY2MzBmZi5qcGeRlQLNAxbNBD_Cw4GhMAU.png
 
Mnapenda sana kuongea kama Watanzania lakini mnakosa ile flow (ni hatupangwi-pangwi) sio hatupangwingwi [emoji28][emoji28][emoji28] mnashindwa kucope with a copy [emoji1]
Bwahahaaa, hyo ni sheng buda hapana tambua tz..hatupangwingwi
 
kenya mawaziri wao wote wanatumia prado 150 wakat huku kwetu wabunge tu wanatumia v8 200 series wakuu wa mikoa wanatumia v8 200 series pamoja na wakurugenzi wa jiji wanatumia V8
Hapo umekosea kabisaa did you miss this news?
Screenshot_20220117-104128-166.png
 
Back
Top Bottom