1600 km sq yenye 90% ni makazi na idadi ya watu.., makazi uchwara kila sehemu ama google earth inawaonea? yaani Dar ni kubwa ata kwa Johannesburg lakini hamuwezi kutajwa kwa sentensi moja na Jozi., nyie ni levels za Kinshasa na Lagos.., ukubwa sio issue.., yaani hio Dar imeshinda akina LA na Hong Kong, kwa ukubwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ata New York ni 783 sq km!.., na Dar 1600sq km!.., double New York., fikra zako ni hovyo sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa barabara umedanganya panya route ndio mingi na ni za vumbi.., Dar can't beat Nairobi on standard roads [emoji23] [emoji23] [emoji23]