Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

All the roads in this picture none is marked😂😂😂

1642441306049.png
 
Pia Musongati kuna shehena ya cobalt na nickel tons million 5 zitakazochimbwa kwa miaka 50 kwahiyo reli to Burundi tu inaweza Lipa gharama zote za SGR yetu yote, bila shaka na umeme wa kuendeshea SGR Burundi utatoka Tanzania sababu 400kv line inaelekea Kigoma na Uvinza
Asubuhi nilikuwa najibizana na watu wanaokandia route ya Uvinza-Msongati-Gitega kwa maana hawajui nn kimelala chini ya ardhi ukizingatia refineries za nickel na cobalt zaja na Burundi washasaini mikataba ya mashirikiano katika uchimbaji na uchenjuaji! Huu ukanda mpaka DRC ni madini tuu..! Rwanda ikiwa tayari itakuja ijenge reli yake kwenda Isaka!
 
Back
Top Bottom