Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ugliest statehouse built in the 21st century
Screenshot_20220117-143653.jpg
 
Ujinga Gani Huu Sisi Kuna ikulu ya rais in every major county Na zote kubwa Ni huruma tu tukiona mnashangilia ikulu
😂😂😂 Acha kuwa pimbi wewe ni mtu mzima, Tanzania pia kila mkoa uko na ikulu.. Ila kuna DODOMA Tz's administrative capital, tunajenga ikulu kubwa kama ile ikulu yetu ya DSM .. hii sio kawaida mzee hata siku moja.. kitu kibaya zaidi ni kwamba ikulu zote hizi mbili ni kubwa kuliko kile kibanda chenu eti nacho ni state House 😂😂😂
 
wanmagari yako wapi bro au ww kuna maeneo tanzania hii hujafika 😆😆 mm kenya naijua na tanzania naijua na bahat nzuri nimezunguka sana kenya sijui kama tunaeza bishana kwa hilo

na kenya sehemu yenye population ya magari sana ni nairobi
mombasa yapo ila sio sana wao huko tuktuk ndio zimejazana
ukienda kisumu baiskeli ndio taxi zao

🤣🤣🤣🤣 uliza ujue bro
sasa hapa umeandika kiushabiki tu, mr google , kujitekenya, Tz am sure Uganda can even challenge you, wacha uongo zako😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kenya umezungyka umezungyka wapi nikuulize swali? Najua hakuna Kenya umezunguka Ni utani tu
 
Kama una ubavu leta gari celebrities wenu wanaendesha na Tanzania ilete wake, celebrities wenu tu kwanza 80% wanaishi kwenye slums
Wewe mwenyewe unaishi wapi??? Wacha kuongelelea watu mwanzo Anza Na wewe then the rest follow thats will be a nice trend
 
Kenya umezungyka umezungyka wapi nikuulize swali? Najua hakuna Kenya umezunguka Ni utani tu
Huyo muongo, alikua anadanganya vile anaijua Mombasa, kumbe mwehu kuruka., see the way ame reason about Mombasa na Kisumu, mere guesswork.., anatamani fikra zake zikue ukweli, ukiweka facts atapingana hapa utashangaa, he's among the idiots in this forum, though I like his fighting spirit, ata ukimuonyesha damu ni nyekundu na yeye hakubaliani na wewe it will be an effort in futility to argue with him, a blind patriot, ana wivu mingi sana 😂 😂 😂 😂 😂
 
😂😂😂 Acha kuwa pimbi wewe ni mtu mzima, Tanzania pia kila mkoa uko na ikulu.. Ila kuna DODOMA Tz's administrative capital, tunajenga ikulu kubwa kama ile ikulu yetu ya DSM .. hii sio kawaida mzee hata siku moja.. kitu kibaya zaidi ni kwamba ikulu zote hizi mbili ni kubwa kuliko kile kibanda chenu eti nacho ni state House 😂😂😂
Sasa state house ikiwa kubwa inaongeaa aje raslimali hehe upuzi ulio Tanzania huwezi kuumaliza
 
Wenae, sasa kama Dar imeizidi Nairobi kwa magari, na nairobi ndio mji mkubwa Kenya na ndio wenye population kubwa unategemea mji gani Mwingine ukizingatia Kenya ni Nairobi tu? Unataka kusema counties nyingine za jangwani ndio zinazidi mikoa mingine ya Tanzania?
Vitu vingine si lazima vya kubishana ... Si lazima mubishe Kila kitu blindly Google any statistics online starting from registration of vehicles to import statistics they all show Kenya imports more vehicles this a childish argument that doesn't add value to a country but just had to post muwache kelele mingi huku NDINDA just do some slight quality research utaona
Screenshot_20220117-151028-370.png
Screenshot_20220117-151056-773.png
Screenshot_20220117-151112.png
Screenshot_20220117-151207.png
 
sasa hapa umeandika kiushabiki tu, mr google , kujitekenya, Tz am sure Uganda can even challenge you, wacha uongo zako😂 😂 😂 😂 😂 😂
Unataka upewe uthibitisho upi mzee.? Estimation zinasema NAIROBI by 2030 itakua na magari 1.35 million
download (1).jpg
while DSM alone ilikua na idadi kama hiyo ya magari 2012 report says 👇
download (1) (1).jpg
yani miaka kumi iliyopita DSM ilikua na magari mengi zaidi ambayo yanakadiriwa kuwepo Nairobi by 2030. Hii itakua ni baada ya miaka 18 😂😂😂 Alaf bado unakaza fuvu.?
 
sasa hapa umeandika kiushabiki tu, mr google , kujitekenya, Tz am sure Uganda can even challenge you, wacha uongo zako😂 😂 😂 😂 😂 😂
🤣🤣😂😂 ushabiki upi au ww utanidanganya nn mm ?? kipi ww utanidanganya

hasira zako zitasaidia nn??
 
Kenya umezungyka umezungyka wapi nikuulize swali? Najua hakuna Kenya umezunguka Ni utani tu
mm mombasa nimefika, mpaka nairobi kisumu mpaka migori isbania nimefika sehemu sijafika ni lamu na turkana huko ile kwengine huko ww utanidanganya nn nimefika mpaka malindi 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom