chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,721
- 46,034
Huu ni msumari wa moto kwa wakenya 😂😂 hasa wakizingatia wana deni la $105b wakiwa na mtambo wa gongo, kwetu kitu cha bullet kinalilia DRC 🙌🙌🙌😅😅😅Itawachukua Kenya karne mbili zijazo kufika hapa, the biggest marshaling yard in Africa [emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 2085180