Yaa
Yaani wewe unachukua a CCM's politician word unatumia kama fact! hii kama sio ujinga utasema ni nini dogo? 😂 😂 😂 😂 😂 jaribu kudhibitisha maneno ya wanasiasa with facts, usikimbie nazo 😂 😂 😂 ., Now get the statistics across Africa, number of cars to people ratio, thta's how it is measured dogo, infact find out the ranking of countries by number of cars to paeple ratio in Africa, na ujue pia hio sio kipimo cha utajiri kwa vile ninapo jua mimi hapa Africa, Liberia ndio inaongoza kwa idadi ya magari to people ratio, yaani kati ya watu 3 or 4 kuna gari in Liberia licha ya uchochole wao.., sasa chunguza na Tanzania kwa hiyo population yenu kubwa, ambapo World Bank imedhihirisha wengi ni fukara wa kutupwa, gari moja linapatikana baada ya watu wangapi..,. chunguza Africa yoote, muache kukurupuka with your blind patriotism na reasoning uchwara...,